Sidhani kama kuna nchi yoyote hapa Africa ime copyright wimbo wa Taifa, hata mimi kesho ninaweza kuenda ku copyright wimbo wa Tz na kesho kutwa mtanzaniia akipost youtube anabaniwa......
Kuna beer flani ya Kenya hua inatumia Mt.Kilimanjaro kama logo na hakuna lolote wanalipa Tz, I'am very sure hio kampuni inaweza kuenda internation na ifanye picha ya huo mima kama Trademark yake na hakuna kampuni nyengine Tz itaruhusiwa kutumia mlima Kili kama logo yake..
Copyright laws hua zinafanya kazi hivyo... First come first served, Yani Naweza niamke leo na niende nika copyright jina Tanzania, Na kama nchi ya Tanzania haijacopyright hilo jina basi naruhusiwa kulichukua