@sun wu,
Katuambia mimi na rafiki yake mwingine, sidhani kama huyo rafiki mwingine anaweza kumtolea siri rafiki yake sababu namjua ni bora kuliko mimi, na pia ikiwa mimi siwezi kumtolea siri zake vipi yule akamtolee siri zake.
Mke wangu hajui, na swali nalo uliza hapa siwezi kumuliza mke wangu sababu atajua tu nimemkusudia yule rafiki yangu.
Na nani kasema hakuna siri dunaini? We hujui kama kuna viongozi wana watoto na hakuna mtu anajua mpaa wanakufa
Wano jua ni jamaa zao tu wakaribu.
Siri zipo inategemea unazitangazia wapi na kwa nani.