Huyo ni mchakachuaji @ Firstlady
Huyu Rafiki kila kitu anataka kuchakachua! Mkiwa kwenye kikao anachakachua main point, kwenye mazungumzo anachakachua hadi unapoteza uelekeo wa mazungumzo...Kwenye Siredi sasa! yani thread ina mandhari ya siasa anipeleka kwenye business then anapeleka kwenye mahusiano mpaka inapoteza quality ya awali!
Yani unaweza post mada kwenye politics akaichakachua hadi moderators wanaihamishia chitchat! wewe unarudi baadae haipo! inabidi uingie majukwaa yote ili kuitafuta-mradi tu ujue kwamba siku hiyo kaamkaje? kama kaamka kibiashara unaanzia kwenye jukwaa hiloNi nani huyu tena Petcash?:lalala: