dumesuruali
JF-Expert Member
- Dec 2, 2016
- 287
- 621
Nilishawahi kutana na case kama hii kijijini kwetu, na siyo mojahabari wakuu..
naomba kuuliza,kuna rafiki yangu mke wake amejifungua mtoto wa kiume na maumbile yake yameshatahiriwa tayari...
hii kitaalamu imekaaje??
so ni kawaida tu au ni tatizo???Nilishawahi kutana na case kama hii kijijini kwetu, na siyo moja
Kule kwakuwa ni mazingira ya kijijini walichukulia kawaida sasa sijui inakaaje kitaalam, ila mi nahisi ni ulemavu kama ulemavu wa viungo vingineso ni kawaida tu au ni tatizo???