dumesuruali
JF-Expert Member
- Dec 2, 2016
- 287
- 621
Habari wakuu
naomba kuuliza,kuna rafiki yangu mke wake amejifungua mtoto wa kiume na maumbile yake yameshatahiriwa tayari hii kitaalamu imekaaje??