tabibumtaratibu
JF-Expert Member
- May 29, 2011
- 2,414
- 1,215
hivi wasichana wa skuiz wanakuaga na bikra?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukweli ni kuwa, bikra ina heshima yake.
Mkuu, maybe you're still ascribing to that old notion kua innocence/loyalty/trustfulness comes along with virginity...
Kwani nani alisema kudrive X5 mpya inamaanisha hutopata ajali very soon, it depends on the driver on the seat...
Unaeza vuta mke uwanja wa fisi, and hv the best wife ever.
tetesi tu....Hehehe...unazungumza with facts au tetesi?
Hahaha...inaonekana hufurahishwi na watoa bikra
Mkuu, maybe you're still ascribing to that old notion kua innocence/loyalty/trustfulness comes along with virginity...
Kwani nani alisema kudrive X5 mpya inamaanisha hutopata ajali very soon, it depends on the driver on the seat...
Unaeza vuta mke uwanja wa fisi, and hv the best wife ever.
Bikra wapo mkuu. Usikate tamaa
Virgin...??
Probably, her social life can't be too pleasing, and seriously i hate a boring r/ship.
Btw, ugly girls are the virgin ones nowadays.[/QUOTE
we mjinga nini? ugliness iko machoni kwako.....
Kwanini kuna baadhi ya wanaume hupenda kutoa ubikra (siyo ya kichina) kwa wanawake/mabinti wakati siku ya hiyo shughuli huwa na usumbufu na kelele za maumivu wakati wa mchakato?
Je ni kweli mwanamke hawezi kumsahau mwanaume/mvulana aliyemtoa bikra? Je ni kweli kuna uwezekano mkubwa kwa mwanaume huyo kupewa 'mechi ya kirafiki' hata kama mwanamke ameolewa?
kutoa bikra kwa mwanamme ni heshima fulani like kiongozi fulani anavopewa mkasi kukata utepe na kuzindua kitu fulani huku jina lake likibaki kwenye jiwe au kioo kuonyesha mfunguzi alikuwa nani.....
Lakini sio lazima kwa mwanamke alyevunjwa bikra kumpa friend games mshikaji wake wa kwanza.... ila mwanamke kumsahau mtu aliyemtoa usichana wake ni ngumu sana..