Kuna raha gani kwa mwanaume kutoa bikra?

hao hao wanaopenda ma-bikra utakuta vibamia vyao hadi vimeota sugu!
 
Ukweli ni kuwa, bikra ina heshima yake.

Heshima kivipi Kongosho wakati huwa mwanaume anachukiwa baada ya mchakato kuisha? Au swala zima la kuteuliwa kuwa mvumbuzi wa shughuli?
 
Last edited by a moderator:
Ukweli ni kuwa, bikra ina heshima yake.


Mkuu, maybe you're still ascribing to that old notion kua innocence/loyalty/trustfulness comes along with virginity...
Kwani nani alisema kudrive X5 mpya inamaanisha hutopata ajali very soon, it depends on the driver on the seat...
Unaeza vuta mke uwanja wa fisi, and hv the best wife ever.
 

Nakukubalia mkuu ONTARIO, sitetei mabikra. Najua wengi wao huwa na desire to test the rest. I got your point...I also agree with the fact that many goes kwa wanawake wenye uzoefu. Because they know on how to go about
 
Last edited by a moderator:

Mhh kwani ishu ni kuendesha X5 au kumiliki hiyo X5, kutoa bikra haina maana nije kuishi nae huyo mwanamke kama mke wangu.
 
Virgin...??
Probably, her social life can't be too pleasing, and seriously i hate a boring r/ship.
Btw, ugly girls are the virgin ones nowadays.[/QUOTE
we mjinga nini? ugliness iko machoni kwako.....
 

kutoa bikra kwa mwanamme ni heshima fulani like kiongozi fulani anavopewa mkasi kukata utepe na kuzindua kitu fulani huku jina lake likibaki kwenye jiwe au kioo kuonyesha mfunguzi alikuwa nani.....
Lakini sio lazima kwa mwanamke alyevunjwa bikra kumpa friend games mshikaji wake wa kwanza.... ila mwanamke kumsahau mtu aliyemtoa usichana wake ni ngumu sana..
 

Hehehehe....inaukweli fulani mkuu...nishawahi kusikia binti anasema "mimi namsubiria bwana angu fulani arudi masomoni ndio ani_ _ _ It's special for him"
 
Proffesor anasema. .. hiv now days bikra zipo...??? No bikra in this world
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…