Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mie sio mcha mungu,ila natafuta mume mcha mungu...lol
Lakini asipitilize akawa masaa yote anashinda huko anako mcha mungu hadi akamboa mwenzake, na ukimwambia fanya hivi anaweza kusema oooh felicio mungu hataki. Awe anamjua mungu lakini asipitilize huko kwa mungu...
,mie sio mcha mungu,ila natafuta mume mcha mungu...lol