Kuna Rais anayependwa duniani kama Kim Jong Un? Hata Magufuli hakumfikia

Kuna Rais anayependwa duniani kama Kim Jong Un? Hata Magufuli hakumfikia

Hio ndio north Korea 👐
JamiiForums1434033461.jpeg
 
Unaposema anapendwa Duniani au unamaanisha anapendwa nchini kwake Korea? Je amepata 100% dhidi ya mpinzani wake yupi au dhidi ya kura ngapi zilizopigwa?
 
Back
Top Bottom