GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Ngoja tu niende tena katika Ukurasa wa X wa African Hub ili nikaingalie upya hiyo Video na nijiridhishe kwani sijaamini.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Njoo nayo stejini hapaNgoja tu niende tena katika Ukurasa wa X wa African Hub ili nikaingalie upya hiyo Video na nijiridhishe kwani sijaamini.
Ulitaka awe na msafara wa Bajaj?Ngoja tu niende tena katika Ukurasa wa X wa African Hub ili nikaingalie upya hiyo Video na nijiridhishe kwani sijaamini.
Ni kweli Mkuu nimeyahesabu upya na Kiumakini kabisa nimeona yako 117. Umeona Trafiki alivyoyachoka na hadi kususa?Ni zaidi ya 84😮💨
Passo zilikuwa ngapi ?Ngoja tu niende tena katika Ukurasa wa X wa African Hub ili nikaingalie upya hiyo Video na nijiridhishe kwani sijaamini.
Ndioo mkuu job true true.Ni kweli Mkuu nimeyahesabu upya na Kiumakini kabisa nimeona yako 117. Umeona Trafiki alivyoyachoka na hadi kususa?
Kama hayumo alitaka kuhutubia Huwa anatokea wapi?halafu unakuta hata hayumo humo anaogopa kufanyiwa yale ya Trump
Usalama wa Rais hauna maswali Wala mambo ya V8,lipa Kodi bila KisingizioHuyo Ndo anasisitiza watu walipe Kodi
Halafu mbona wanakupuuza badala ya kukujibu?Mlitaka awe na msafara wa Toyo na Bajaj au?
Hatari sanaNgoja tu niende tena katika Ukurasa wa X wa African Hub ili nikaingalie upya hiyo Video na nijiridhishe kwani sijaamini.
Ni mwendo wa kununua risiti natumia kusafirishia mzigo dukani nachukua ganjiUsalama wa Rais hauna maswali Wala mambo ya V8,lipa Kodi bila Kisingizio
Ulitaka awe na msafara wa Bajaj na Toyo au?Halafu mbona wanakupuuza badala ya kukujibu?
Hawafanyi poa, acha nijitolee angalau kuku quote