Koloboy
Member
- Aug 13, 2017
- 61
- 154
Habari Ndugu Zangu Wana JF!!
Kwanza Kabisa Naomba Kipekee Niipongeze Mahakama Ya Kenya Kwa Kusimamia Demokrasi Ndani Ya Nchi Yao Kwa Kuonyesha Kuwa Kila Aina Ya haki Mbele Ya Mahakama Inawekana Kutolewa Bila Kujali Ni Nani Aliye Mbele Ya mahakama.
Ila Licha Ya Pongezi Zangu Kwa Mahakama Ya Kenya Lakini Najiuliza Jee Kuna Kiongozi Yeyote Mpaka Sasa Ambaye Amepongeza Juu Ya Uamuzi Wa Mahakama Nchini Kenya???
Mana Huwa Mara Nyingi Sana Kiongozi Fulani Anaposhinda Kwenye Uchaguzi Nchini Kwake Basi Viongozi/Marais Hujitokeza Na Kutowa Pongezi Juu Ya Ushindi Wake.
Lakini Kwa Maamuzi Yaliyotokea Nchini Kenya Juu Ya Mahakama Kuamuru Kurudiwa Kwa Uchaguzi Ndani Ya Siku 60 Sijaona Kiongozi Wa Afrika Akijitokeza Kuipongeza Mahakama Ya Kenya Kwa Kuonyesha Demokrasi Ama Kuridhia Na Kuunga Mkono Juu Ya Maamuzi Hayo.
Swali:- Ukimya Huu Wa Viongozi Wa Afrika Kujitokeza Na Kuunga Mkono Kwa Uhuru Wa Mahakama Kuhusu Maamuzi Ni Kwamba Hawajafurahishwa Ama Bado Hawajasikia Kilichotokea????
Naomba Kuwasilisha