Kuna Rais Yeyote Aliyetoa Pongezi Juu Ya Maamuzi Ya Mahakama Nchini Kenya????

Koloboy

Member
Joined
Aug 13, 2017
Posts
61
Reaction score
154
Habari Ndugu Zangu Wana JF!!

Kwanza Kabisa Naomba Kipekee Niipongeze Mahakama Ya Kenya Kwa Kusimamia Demokrasi Ndani Ya Nchi Yao Kwa Kuonyesha Kuwa Kila Aina Ya haki Mbele Ya Mahakama Inawekana Kutolewa Bila Kujali Ni Nani Aliye Mbele Ya mahakama.

Ila Licha Ya Pongezi Zangu Kwa Mahakama Ya Kenya Lakini Najiuliza Jee Kuna Kiongozi Yeyote Mpaka Sasa Ambaye Amepongeza Juu Ya Uamuzi Wa Mahakama Nchini Kenya???

Mana Huwa Mara Nyingi Sana Kiongozi Fulani Anaposhinda Kwenye Uchaguzi Nchini Kwake Basi Viongozi/Marais Hujitokeza Na Kutowa Pongezi Juu Ya Ushindi Wake.

Lakini Kwa Maamuzi Yaliyotokea Nchini Kenya Juu Ya Mahakama Kuamuru Kurudiwa Kwa Uchaguzi Ndani Ya Siku 60 Sijaona Kiongozi Wa Afrika Akijitokeza Kuipongeza Mahakama Ya Kenya Kwa Kuonyesha Demokrasi Ama Kuridhia Na Kuunga Mkono Juu Ya Maamuzi Hayo.

Swali:- Ukimya Huu Wa Viongozi Wa Afrika Kujitokeza Na Kuunga Mkono Kwa Uhuru Wa Mahakama Kuhusu Maamuzi Ni Kwamba Hawajafurahishwa Ama Bado Hawajasikia Kilichotokea????

Naomba Kuwasilisha
 
Hill haliwezekani Mkuu
Sijui itakuwaje walipongeza ushindi sasa ushindi umetenguliwa sijui wanafanyaje?
 
Habari Ndugu Zangu Wana JF!!

Kwanza Kabisa Naomba Kipekee Niipongeze Mahakama Ya Kenya Kwa Kusimamia Demokrasi Ndani Ya Nchi Yao Kwa Kuonyesha Kuwa Kila Aina Ya haki Mbele Ya Mahakama Inawekana Kutolewa Bila Kujali Ni Nani Aliye Mbele Ya mahakama.

Ila Licha Ya Pongezi Zangu Kwa Mahakama Ya Kenya Lakini Najiuliza Jee Kuna Kiongozi Yeyote Mpaka Sasa Ambaye Amepongeza Juu Ya Uamuzi Wa Mahakama Nchini Kenya???

Mana Huwa Mara Nyingi Sana Kiongozi Fulani Anaposhinda Kwenye Uchaguzi Nchini Kwake Basi Viongozi/Marais Hujitokeza Na Kutowa Pongezi Juu Ya Ushindi Wake.

Lakini Kwa Maamuzi Yaliyotokea Nchini Kenya Juu Ya Mahakama Kuamuru Kurudiwa Kwa Uchaguzi Ndani Ya Siku 60 Sijaona Kiongozi Wa Afrika Akijitokeza Kuipongeza Mahakama Ya Kenya Kwa Kuonyesha Demokrasi Ama Kuridhia Na Kuunga Mkono Juu Ya Maamuzi Hayo.

Swali:- Ukimya Huu Wa Viongozi Wa Afrika Kujitokeza Na Kuunga Mkono Kwa Uhuru Wa Mahakama Kuhusu Maamuzi Ni Kwamba Hawajafurahishwa Ama Bado Hawajasikia Kilichotokea????

Naomba Kuwasilisha

Watanzania tujifunze kujikita kwenye mambo yetu wenyewe, we should stop this nonsense to sticking our nose everywhere. Mambo ya Kenya ni ya Wakenya.
 
Nikushauri Pia Watanzania Hatujafundishwa Kuwa Wabinafsi Katika Mambo Yetu Na Wenzetu, Kenya Na Tanzania Ni Ndugu Na Mimi Naamini Kila Kizuri Kinachofanywa Kenya Na Sisi Tunapaswa Kujifunza Na Wao Wanapaswa Kujifunza Kila Kitu Kizuri Kutoka Kwetu.

Je Upo Tayari Kuwakataza Wakenya Wanaomkubari Ama Kumsifia JPM Hali Ya Kuwa Wao Sio Watanzania????

Mtanzania Akienda Kushiriki Shindano Lolote Huko Nje Huwa Tunamuunga Mkono Tukiamini Kuwa Ni Ndugu Yetu Na Ni Mwenzetu, Taifa Lolote Kutoka Afrika/Afrika Mashiriki Likipewa Fursa Kushiriki Shindano Lolote Pia Sisi Kama Waafrika Huwa Tunaungana Na Kumuunga Mkono ..

Kwa Nini Hili Liwe Tofauti Na Kutaka Tuwe Wabinafsi Kiasi Hiki???

Tuache Ubinafsi Mkuu
 
Watanzania tujifunze kujikita kwenye mambo yetu wenyewe, we should stop this nonsense to sticking our nose everywhere. Mambo ya Kenya ni ya Wakenya.
Mambo yetu.yapi mkuu,

tungekuwa tunaongelea mambo ya makinikia lakini mazungumzo yenyewe yanafanywa siri, unataka tuongelee kitu gani kama serikali inafanya mambo kwa kificho.

Sent from my Priceless H40-D00 using JamiiForums mobile app
 
Yani Bora Ushangae Wewe Mkuu Mana Sie Kama Watanzania Tuna Mambo Yetu Mengi Tu Ambayo Leo Watanzania Wakijitokeza Na Kuyazungumza Wataonekana Sio Wazalendo Wa Nchi Yao.

Maisha Ni Kujifunza Kwa Hili Watanzania Tunapaswa kujifunza Kutoka Kenya
 
Tanzania kila kitu ni siri

Akijitokeza mtu kaongea jambo hadharani , hawakawii kumpika cojo

Back
Top Bottom