NANDERA
JF-Expert Member
- Mar 18, 2014
- 2,024
- 2,487
Nimeingia humu kuleta dukuduku langu kuhusu TCU nikakutana na nyuzi zilizoondolewa zinazohusu TCU.
Sijui zilikuwa zinaongelea nini? Mi nauliza tu wale wadogo zangu waliopita kwenye mchakato wa kuchaguliwa kujiunga na vyuo na hasa wale waliotaka kubadili kozi kwa kuhamia chuo kimoja kwenda kingine au ambao hawakuchaguliwa kabisa kwa kigezo cha kuwepo kwa ushindani kwa kozi walizochagua hasa medicine.
Baada ya juhudi za kumsaidia mdogo wangu aliyetaka kwenda kusomea udaktari kugonga mwamba ilibidi nitafute nguvu ya kumshawishi akaanzie tu diploma maana hataki kuskia kitu kingine zaidi ya medicine. Nilifikiri angeniona mzembe kwa kushindwa kufanikisha ndoto yake ya kwenda kcmc lakini akaniambia "sister wala usihuzunike. hii nchi imeshaoza. Jamaa yangu ana pointi kaa zangu lakini kapata muhimbili. mshkaji wake mwingine naye alikutana na kali ya kuombwa rushwa ya milioni 1 ili aweze kupangiwa muhimbili. jamani hizi ni tuhuma zinazotokana na kukosa au kuna ukweli??? Usikute napoteza nguvu bure kusitikika na kufuatilia.