Kuna sababu gani huwezi pata TIN number mpaka ufike miaka 18?

flamini

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2015
Posts
533
Reaction score
586
TIN number ni muhimu na bado sijaona sababu yoyote ya mpaka ufike 18. Wataalamu naomba sababu kwanini mpaka 18 years ndio upate.
 
TIN = Tax payer Identitification Number...
Mlipa Kodi ni mwenye kufanya kazi ya kuajiliwa au kujiajiri...

Mwenye miaka 18 ni mtu mzima kisheria na ndiyo umri wa kuruhusiwa kufanya kazi.
 
Kisheria kwa nchi yetu mtu yeyote mwenye umri chini ya miaka 18 hawezi kuingia kwenye mkataba wowote labda awe na msimamizi ambae yupo juu ya miaka 18 na ni kwa baadhi ya ishu
Screenshot_20240506-130547_Chrome.jpg
 
TIN = Tax payer Identitification Number...
Mlipa Kodi ni mwenye kufanya kazi ya kuajiliwa au kujiajiri...

Mwenye miaka 18 ni mtu mzima kisheria na ndiyo umri wa kuruhusiwa kufanya kazi.
Kuna 16 years kibao wamejiajiri au wanatakiwa kuna mali aimiliki lakini anashindwa kisa hana TIN number.
 
naunga mkono hoja jibu mujaarabu sana hili
 
Kura tofauti na TIN number,maana sometimes kuna mali inabidi uimiliki ni Halali yako na unashindwa miliki kisa umri.
nilikuwa namaanisha kwamba serikali ya tanzania mtoto akifikisha miaka 18,sio mtoto tena naukumbuke mtoto anatakiwa kuwa chini ya wazazi ndoanake ata sherika ya kazi duniani ni kosa kumwajiri mtoto [chid labour offence},,ata jeshini ni kosa,ndo manake mtoto hawezi kupewa leseni ya gari wala umiliki wa silaha......CRITCALLY THINKING!!,,,,,ndo manake kuna jela a watoto mazee!!
 
Kuna 16 years kibao wamejiajiri au wanatakiwa kuna mali aimiliki lakini anashindwa kisa hana TIN number.
Iliwekwa miaka 18,
Kwasababu ndiyo umri ambao binadamu yanakuwa tayari kashaanza kuingia barehe na hivyo uwezo wa ubongo kwenye kuwaza na kufikiri kuongezeka.
Lakini pia misuli ya mwili inakuwa ishaanza ongezeka .
Atafute muangalizi wa mali zake ...
 
Back
Top Bottom