Kuna sababu gani kuwachezesha wachezaji wa zamani kwenye bonanza

Leonel Ateba Mbinda

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2023
Posts
644
Reaction score
2,695
Nani hamjui Inonga, nani hamjui kapombe, nani hamjui all Salim, nani hamjui Kanoute, nani hamjui Kibu, nani hamjui mwamba wa Lusaka, nani hamjui Bocco, nani hamjui Mzamiru, nani Tshabalala, nani Saido?

Watu tumefurika uwanjani kuwaona akina Fabrice, akina Onana, Kramo, Hussein Kazi, Abdallh Hamis, je Phri kaona kweli, tumuone Chilunda, tumuone Duchu.

We Robertinho vip bwana, hì haihitaji kwenda shule kujua, hao akina Kibu tunawajua sasa umetunyima nafasi ya kuwaona wachezaji wapya na jana ndio mahali pake.

Halafu koma kumtoa Chama.
 
Pamoja na kuwa ni bonanza lakini matokeo ya mwisho yana umuhimu wake,unafikiri nyomi kama lile na furaha yote ile halafu mtunguliwe bado mngemlaumu kocha. Anzeni kumhukumu kocha ligi ikishashika kasi.
 
MBONA KILA SIKU NINAANDIKA HAPA IMBA HAWAJASAJILI VIZURI.
.

1. Simba Tangu AMEUMIA Manura na kakolanya miezi karibu 6 hawana Golikipa No 1
.
2. Walishindwa KUMSAJILI YAHAYA mbegu Kumchallange shabalala kwenye No 3.
.
3. Wameshindwa KUSAJILI Beki wa maana Kumchallange Inonga na MAlone.
.
4. Hawana kiungo NO 6 MKABAJI.
.
5. Hawana MSHAMBULIAJI WA kumchallange Baleke.
.
BADALA YAKE WAMEJAZA MAWINGA karibu 10.

1. kibu.
2.saido.
3. Mwinuke.
4. Chama.
5. Phili.
5. Kram.
6. Onana.
7. MIQUESSON.
8. BANDA


( KATIKA HAWA WATU 8 WANATAKIWA KUANZA NI 3 TU.)
7,10,11.

Alex FERGASON ana sema safu Bora ya ushambuliaji itakupa MAGOLi, safu Bora ya ulinzi itakupa mataji
 
Wewe nawe tumechoka na malalamiko yako, utadhani sio wa kiume bwana!
 
Yanga Wana cream yote ya Wachezaji wazawa.

1. Metacha.
2. Jobu
3. Kibwana shomari.
4.Baka Ibrahim.
5.Mwamnyeto.
6.zawadi mauya./ Mkude
7. Denis Nkane.
8. Salum abubari sure boy
9. Ngushi.
10 mudathiri.
11. Mzinze.

Hawa Wana msaada mkubwa sana kwenye Rotation ya Timu kitu AMBACHO Simba hawana Rotation ene lote la Ulinzi.

Makosa ya Simba kiusajili ni mengi mno.
 
Wewe nawe tumechoka na malalamiko yako, utadhani sio wa kiume bwana!

Pole sana mkuu.

JITAHIDI kunywa maji mengi kwa Afya yako.

TUMIA sana mboga za majani na matunda.

PUNGUZA vyakula vya WANGA na sukari ni Mbaya sana mwilini.

JITAHIDI pia kutenga hata dakika ³⁰ 30za Mazoezi.

Ni ushauri tu
 
Pole sana mkuu.JITAHIDI kunywa maji mengi kwa Afya yako. TUMIA sana mboga za majani na matunda. PUNGUZA vyakula vya WANGA na sukari ni Mbaya sana mwilini. JITAHIDI pia kutenga hata dakika ³⁰ 30za Mazoezi. Ni ushauri tu
Ni ushauri mzuri kwa mtu mwenye kutunza mavitu moyoni, mwenye kutoridhika na mwenye kulalamika lalamika kila mara. Kwa vyovyote una uzoefu wa kutumia njia hiyo
 
Kwani hukuwaona hao uliowataja??utopolo bhn hivi kichwani huwa mna kitu gani nyie?
 
Usichoelewa ni kuwa Kocha ameangalia mechi za mkwakwani wiki hii,usilolijua ni sawa na usiku wa kiza kinene.
 
Kwani sheria ya TFF inasemaje? Kuhusu hilo
 
Lengo lilikuwa ni kuonyesha kikosi kipya cha msimu wa 2023-2024 na utambulisho wa sajili mpya. SimbaSC #NguvuMoja #UnyamaMwingi.
Kocha kaona mbele zaidi mechi za ngao ya hisani kwani zina tija kubwa kuliko hilo bonanza,wanaomlaumu wameangalia hatua moja mbele yao na yeye kaangalia hatua mia mbele
 
Hv kocha kawakosea nn, wakar list limetoka juu.
 
Wangefanya kama Yanga au Power Dynamo wangeoga nyingi mno.
Wenzao kipindi cha pili timu nzima ilibadilika kila mchezaji alipata nafasi ya kuonekana.

Wao tegemezi ni wachache mkuu, wangeharibu siku yao. Wala haina haja ya kulaumu kama unajua sababu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…