Leonel Ateba Mbinda
JF-Expert Member
- Feb 20, 2023
- 644
- 2,695
Nani hamjui Inonga, nani hamjui kapombe, nani hamjui all Salim, nani hamjui Kanoute, nani hamjui Kibu, nani hamjui mwamba wa Lusaka, nani hamjui Bocco, nani hamjui Mzamiru, nani Tshabalala, nani Saido?
Watu tumefurika uwanjani kuwaona akina Fabrice, akina Onana, Kramo, Hussein Kazi, Abdallh Hamis, je Phri kaona kweli, tumuone Chilunda, tumuone Duchu.
We Robertinho vip bwana, hì haihitaji kwenda shule kujua, hao akina Kibu tunawajua sasa umetunyima nafasi ya kuwaona wachezaji wapya na jana ndio mahali pake.
Halafu koma kumtoa Chama.