Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unalalamika nini sasa huku ukitetea chama asitolewe. Yeye ni mchezaji mpya?Nani hamjui Inonga, nani hamjui kapombe, nani hamjui all Salim, nani hamjui Kanoute, nani hamjui Kibu, nani hamjui mwamba wa Lusaka, nani hamjui Bocco, nani hamjui Mzamiru, nani Tshabalala, nani Saido?
Watu tumefurika uwanjani kuwaona akina Fabrice, akina Onana, Kramo, Hussein Kazi, Abdallh Hamis, je Phri kaona kweli, tumuone Chilunda, tumuone Duchu.
We Robertinho vip bwana, hì haihitaji kwenda shule kujua, hao akina Kibu tunawajua sasa umetunyima nafasi ya kuwaona wachezaji wapya na jana ndio mahali pake.
Halafu koma kumtoa Chama.
Basi Yanga yeye bingwa 2024.Hata masuala ya mpira huyajui kolo we 2023 bingwa keshapatikana.