Kuna sababu ya kuangalia makabila yanayostahili kushika u-rais

Zygot

JF-Expert Member
Joined
Apr 14, 2016
Posts
2,265
Reaction score
2,919
Ukiangalia utendajikazi wa marais waliopita na kona za nchi walikozaliwa na kukulia, utaona wazi kwamba kuna maeneo ya nchi hii hayastahili kabisa kupewa nafasi ya urais. Hili siyo suala la ukabila au dini, ni jambo linalotokana na makuzi ya watu, ndani yake kukiwa na mila.

Tujadili bila mihemuko, lakini ukweli ni kwamba hii kanda ya Pwani na Zanzibar haistahili kabisa kutoa kiongozi wa nchi. Nimeandika haya baada ya kuangalia utendaji kazi wa ma-rais wetu waliopita.

Tunaosita kutoa maoni, tujiulize kwa nini hata mkoloni aliona haina faida kutumia watu wa pwani kukata mkonge. Au hata kuwaingiza kwenye jeshi la KAR.
 
Wa msoga mbona wanadai alikuwa mtu wa maana sana au mnamkataa tena?

Sema wote kuanzia huyo mnaita baba utendaji kazi wao ni avarage hakuna aliyefanya miujiza.Bongo kesi zimebaki zile zile maradhi,ujinga na umasikini toka TANU mpaka sasa tuna CHAUMA
 
Ukiangalia utendajikazi wa marais waliopita na kona za nchi walikozaliwa na kukulia, utaona wazi kwamba kuna maeneo ya nchi hii hayastahili kabisa kupewa nafasi ya urais. Hili siyo suala la ukabila au dini, ni jambo linalotokana na makuzi ya watu, ndani yake kukiwa na mila.

Tujadili bila mihemuko, lakini ukweli ni kwamba hii kanda ya Pwani na Zanzibar haistahili kabisa kutoa kiongozi wa nchi. Nimeandika haya baada ya kuangalia utendaji kazi wa ma-rais wetu waliopita.

Tunaosita kutoa maoni, tujiulize kwa nini hata mkoloni aliona haina faida kutumia watu wa pwani kukata mkonge. Au hata kuwaingiza kwenye jeshi la KAR.
Ubaguzi huu
 
Urais kwa Nchi nying duniani 80% baada ya ukoloni sio kazi rahisi hata kidogo .

Na tatizo sio Kabila na kwa Tanzania kwa sasa hoja za makabila zinapoteza maana sana..

Fikiria

Ingekuwa wewe umepewa ukaambiwa..

1 .Wildlife yupo mtu usiguse na amelipa kwa miaka 20 mbele
2. Madini, utapata royalties na kodi zimelipwa wanadai miaka 30 mbele
3.Gas wamelipa na serikali inatakiwa iwalipe gharama za utafutaji na uchimbaji miaka 30 mbele
4.Misitu, imelipiwa carbon credit hutakiwi ukate mbao kwa export miaka 30 mbele

5. Bandari zimelipiwa na wana mkataba wa miaka 30, mbele..

6.Kodi yako unayokusanya asilimia 70, unalipa madeni na mikopo ya nchi kila mwezi, inayobaki ni mishahara na matumizi ya kawaida.

7.Kodi kwa makampuni makubwa nayo yanakukwepa yanasema kuna gharama za uwekezaji.., ukiyagusa yanaenda kukushtaki mahakama zao huko nje .

Hapo una watu mil 65 wanatakiwa wasome bure, wakipata njaa wewe, wakumwa wewe, barabara wewe, kazi zao wewe.. na wanaolipa kodi hawafiki mil 4.

Chukua nchi hapo tueleze utaanzia wapi?
 
kwa nini makabila na siyo dini? jamii zote zilizostaarabika dini na falsafa yake ndiyo inayoendeleza jamii, labda kama unataka kusema watanzagiza ni (bado) animalistic pagans …
 
Ukiangalia utendajikazi wa marais waliopita na kona za nchi walikozaliwa na kukulia, utaona wazi kwamba kuna maeneo ya nchi hii hayastahili kabisa kupewa nafasi ya urais. Hili siyo suala la ukabila au dini, ni jambo linalotokana na makuzi ya watu, ndani yake kukiwa na mila.

Tujadili bila mihemuko, lakini ukweli ni kwamba hii kanda ya Pwani na Zanzibar haistahili kabisa kutoa kiongozi wa nchi. Nimeandika haya baada ya kuangalia utendaji kazi wa ma-rais wetu waliopita.

Tunaosita kutoa maoni, tujiulize kwa nini hata mkoloni aliona haina faida kutumia watu wa pwani kukata mkonge. Au hata kuwaingiza kwenye jeshi la KAR.
Unaitwa ouzo mkuu hadi kwenye last living of this person
 
Mimi na uzee wangu huu kiukweli ni hao unaowaita hawafai ndo best president ever kwa mtazamo wangu kuanzia kipato cha mmoja mmoja mpaka taifa
 
Kuna makabila/kanda wana amini ili kuendelea wanahitaji misaada and hence watu wao ni wazembe na wavivu, halafu kuna KANDA/makabila wana amini, mwanaume kuomba omba kwa ajili ya familia yako ni aibu and hence wanawekeza kwenye kufanya kazi kwa bidii ili kujiletea maendeleo; hi ndio tofauti nilioiona mimi binafsi
 
Ukiangalia utendajikazi wa marais waliopita na kona za nchi walikozaliwa na kukulia, utaona wazi kwamba kuna maeneo ya nchi hii hayastahili kabisa kupewa nafasi ya urais. Hili siyo suala la ukabila au dini, ni jambo linalotokana na makuzi ya watu, ndani yake kukiwa na mila.

Tujadili bila mihemuko, lakini ukweli ni kwamba hii kanda ya Pwani na Zanzibar haistahili kabisa kutoa kiongozi wa nchi. Nimeandika haya baada ya kuangalia utendaji kazi wa ma-rais wetu waliopita.

Tunaosita kutoa maoni, tujiulize kwa nini hata mkoloni aliona haina faida kutumia watu wa pwani kukata mkonge. Au hata kuwaingiza kwenye jeshi la KAR.
Tatizo siyo Rais, ni wananchi waliokosa akili huru kwa ujumla wake.
Kama wananchi wanaswagwa kama ng'ombe, wakigeuzwa uelekeo wowote wanakubali na kushangilia, Rais analaumiwa kwa nini?
Rais kama mtu ni mmoja, serikalini kuna makabila yote. Changamoto ipo mbali kabisa na ikulu.
 
Ukiangalia utendajikazi wa marais waliopita na kona za nchi walikozaliwa na kukulia, utaona wazi kwamba kuna maeneo ya nchi hii hayastahili kabisa kupewa nafasi ya urais. Hili siyo suala la ukabila au dini, ni jambo linalotokana na makuzi ya watu, ndani yake kukiwa na mila.

Tujadili bila mihemuko, lakini ukweli ni kwamba hii kanda ya Pwani na Zanzibar haistahili kabisa kutoa kiongozi wa nchi. Nimeandika haya baada ya kuangalia utendaji kazi wa ma-rais wetu waliopita.

Tunaosita kutoa maoni, tujiulize kwa nini hata mkoloni aliona haina faida kutumia watu wa pwani kukata mkonge. Au hata kuwaingiza kwenye jeshi la KAR.
Kiasi fulani nami naanza kuelewa. Naona watu wanachanganya suala la kabila na dini, NO. Hapa tuseme ni tatizo la makuzi ambayo yanendana na maeneo uliyokulia.

Mtu aliyekulia pwani akielewa hata mihogo kwa pilipili ni mulo kamili kwa kazi za siku, ni tofauti na mtu aliyezaliwa Shinyanga akielewa anatakiwa kula ugali mwingi, kuamka saa 10 usiku na kuongoza maksai kabla ya jua kuwaka.

Nahisi hata familia za wansiasa wetu sasa zinatoa viongozi hovyo tu! Wamekuwa wakiona baba anaishi maisha ya wizi na matumizi mabaya ya mali ya serikali. Nao sasa eti ni wansiasa. Ukiwasikiliza wanachojua wanelewa siasa ni wizi wizi tu!

Kwa nchi kama TZ kuna haja ya kuwa wabaguzi wa baadhi ya maeneo. Hii watu ya pwani na Zaznibar ni kichomi tu! Tutashuhudia wizi tu na sifa mshenzi.
 
Urais kwa Nchi nying duniani 80% baada ya ukoloni sio kazi rahisi hata kidogo .

Na tatizo sio Kabila na kwa Tanzania kwa sasa hoja za makabila zinapoteza maana sana..

Fikiria

Ingekuwa wewe umepewa ukaambiwa..

1 .Wildlife yupo mtu usiguse na amelipa kwa miaka 20 mbele
2. Madini, utapata royalties na kodi zimelipwa wanadai miaka 30 mbele
3.Gas wamelipa na serikali inatakiwa iwalipe gharama za utafutaji na uchimbaji miaka 30 mbele
4.Misitu, imelipiwa carbon credit hutakiwi ukate mbao kwa export miaka 30 mbele

5. Bandari zimelipiwa na wana mkataba wa miaka 30, mbele..

6.Kodi yako unayokusanya asilimia 70, unalipa madeni na mikopo ya nchi kila mwezi, inayobaki ni mishahara na matumizi ya kawaida.

7.Kodi kwa makampuni makubwa nayo yanakukwepa yanasema kuna gharama za uwekezaji.., ukiyagusa yanaenda kukushtaki mahakama zao huko nje .

Hapo una watu mil 65 wanatakiwa wasome bure, wakipata njaa wewe, wakumwa wewe, barabara wewe, kazi zao wewe.. na wanaolipa kodi hawafiki mil 4.

Chukua nchi hapo tueleze utaanzia wapi?
Chakujiuliza ni hayo sasa. Nani aliyeuza Mbuga? Nani aliyeuza migodi? na nani kauza bandari?

Ndo hao tunasema makuzi yao ktk maeneo yao hawakufaa kuwa rais. Basi tu! Hadithi za usawa na bhla-bhla! wakati tunafahamu makuzi yao ni hovyo!
 
Back
Top Bottom