Kuna sarafu ya kichina nimeikuta kwenye shati la mtumba

Haina thamani yoyote hiyo mkuu... nenda soko la Memorial - Moshi, utaokota hadi utachoka yapo mengi sana...yanakuja na nguo za mtumba
 
Endelea kununua mitumba ipo siku utakutana na dola,ila kabla huja nunua uliza kwanza inatokea wapi.
 
We jmaa unaonekana hauna hela mfukon kias kwamba kila hela ukiona unadhan itakaa mfukon,,,

Hadi cent unafakamia???ingekuwa note je?si ndo ungeluka miguu juu🤣🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…