Kuna sarafu ya kichina nimeikuta kwenye shati la mtumba

Kuna sarafu ya kichina nimeikuta kwenye shati la mtumba

Ramea

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2015
Posts
2,146
Reaction score
4,084
Wakuu hii sarafu ina thamani yoyote? Nimeikuta kwenye mfuko wa shati nililonunua mtumbani.
IMG_20200330_110805.jpeg
IMG_20200330_110749.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haina thamani yoyote hiyo mkuu... nenda soko la Memorial - Moshi, utaokota hadi utachoka yapo mengi sana...yanakuja na nguo za mtumba
 
Endelea kununua mitumba ipo siku utakutana na dola,ila kabla huja nunua uliza kwanza inatokea wapi.
 
We jmaa unaonekana hauna hela mfukon kias kwamba kila hela ukiona unadhan itakaa mfukon,,,

Hadi cent unafakamia???ingekuwa note je?si ndo ungeluka miguu juu🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom