britanicca
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 16,295
- 33,994
Kama hawajapata ruzuku hapo Ufipa wanaishije?Hata mimi nawaza hivyo.
Hata lile kanusho la kutopokea ruzuku hata siliamini. [emoji21]
Hawana ubavu.Kama hawajapata ruzuku hapo Ufipa wanaishije?
Kwani vyama vyote vinaishi kwa ruzuku?Kama hawajapata ruzuku hapo Ufipa wanaishije?
Mbowe kakubaliana na Mnyika!Kwa hyo ndugai kakubaliana na mbowe? Hapana wale wabunge wataendelea kuwa wabunge kwa haraka za spika, nao ni ubabe tu
Chadema na ruzuku ni kama mgonjwa na uji!Kwani vyama vyote vinaishi kwa ruzuku?
Hata ccm wapo kwa ajili ya matumbo yaoUpinzani kwa sasa limebaki jina tu hakuna upinzani kwa hivi sasa hao wote wapo kwa ajili ya matumbo yao tu
Itakua maneno mkuuSawa!!! Swali je baraka hizi ni kwa maneno au maandishi?
Itakua maneno mkuu
CCM ndio waasisi wa haya yote. Ila dawa ya haya yote ni katiba mpya tu itakayompa nguvu mwananchi kumwajibisha mtumishi yeyote wa ummaHata ccm wapo kwa ajili ya matumbo yao
Nilileta mada nyeti kuanika hilo humu Leo mchana moderators wakailamba nzima nzima na kuipotezea na kuitupa hukoKuna Kisauti kinanjia Kuhusu Mbowe kubariki Viti Maalumu hapo awali kwa makubaliano ya Kuwa siri na Kujifanya hana habari.
Hii yaweza kuwa kwa maslahi mapana ya Chama (Ustawi na kutofutika)
Ni mawazo yangu ila tuwaze nje ya Box
Britannica
Hapo sasa ndiyo unawataka ccm wakuone wewe ni mchochezi na mpinga maendeleo .CCM ndio waasisi wa haya yote. Ila dawa ya haya yote ni katiba mpya tu itakayompa nguvu mwananchi kumwajibisha mtumishi yeyote wa umma
Tatizo sio katiba mpya clean your house first opposition you need to do some house cleaning of your house but as a CCM member I know you don't want to clean your houseCCM ndio waasisi wa haya yote. Ila dawa ya haya yote ni katiba mpya tu itakayompa nguvu mwananchi kumwajibisha mtumishi yeyote wa umma