Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NamUpinzani kwa sasa limebaki jina tu hakuna upinzani kwa hivi sasa hao wote wapo kwa ajili ya matumbo yao tu.
We are in this game kitambo sanaUliona mbali
MzeeMimi tangu amuuzie ugombea wa Urais Marehemu Lowasa wa Ccm, nilijikuta nauondoa ushabiki na uungaji mkono wa Chadema na kubakia neutral.
Tangia wakati huo sina imani naye.
Hivi karibuni yaliyo sirini yatajidhihirisha wazi, mbivu na mbichi zitajitenga.
Kumbe ulikua sahihiKuna Kisauti kinanjia Kuhusu Mbowe kubariki Viti Maalumu hapo awali kwa makubaliano ya kuwa siri na kujifanya hana habari.
Hii yaweza kuwa kwa maslahi mapana ya Chama (Ustawi na kutofutika).
Ni mawazo yangu ila tuwaze nje ya Box.
Britannica
Rabeka!Mzee
Huyo tapeli aliturudisha nyuma sana.Rabeka!