Kuna Sauti inanijia kwamba huenda wabunge 19 wa CHADEMA wana baraka za Mwenyekiti kwa makubaliano maalumu kutotoboa siri

Kuna Sauti inanijia kwamba huenda wabunge 19 wa CHADEMA wana baraka za Mwenyekiti kwa makubaliano maalumu kutotoboa siri

CUF ishajifia, Chadema ikifanya makosa tu kwenye uchaguzi nayo inaenda kujifia.
 
duh, inawezekana mbowe ni TISS, very proffesional undercover, pengine mwanzoni alikua mpinzani kweli lakini baadae akabadili gia angani na kufanya kazi kwa maslahi ya taifa.. huyu mzee kama ni mtu msafi ataachia ngazi ila kama ana mambo yake atataka kubaki madarakani kujilinda
 
Double agent pacha wa Siri wa Zito ( Agent of confusion ) Hawa nawaonaga ni cross walls daima.
 
Lissu yupo sahihi, wala hana makosa, hasa kwenye chama chenye utaratibu wa kufanya utaratibu wa uchaguzi wa Mwenyekiti. Ni haki yake na siyo mbaya.

And after all It is the right time kwa Mbowe kuachia madaraka kulinda heshima. Ameshakaa madarakani miaka 21. Inatosha, na amefanya mambo mema. Ni muda sahihi sasa wa yeye kuachia ngazi na wala siyo kwa ubaya.
 
Mimi tangu amuuzie ugombea wa Urais Marehemu Lowasa wa Ccm, nilijikuta nauondoa ushabiki na uungaji mkono wa Chadema na kubakia neutral.

Tangia wakati huo sina imani naye.

Hivi karibuni yaliyo sirini yatajidhihirisha wazi, mbivu na mbichi zitajitenga.
Mzee
 
  • Thanks
Reactions: G4N
Kuna Kisauti kinanjia Kuhusu Mbowe kubariki Viti Maalumu hapo awali kwa makubaliano ya kuwa siri na kujifanya hana habari.

Hii yaweza kuwa kwa maslahi mapana ya Chama (Ustawi na kutofutika).

Ni mawazo yangu ila tuwaze nje ya Box.

Britannica
Kumbe ulikua sahihi
 
Back
Top Bottom