Kuna Sauti inanijia kwamba huenda wabunge 19 wa CHADEMA wana baraka za Mwenyekiti kwa makubaliano maalumu kutotoboa siri

Kilichombadili Slaa ni Upnzani Kuwa na Tamaa lwa lowasa, UPINZANI NDO ULIBADILIKA SIYO SLAA
 
Kilichombadili Slaa ni Upnzani Kuwa na Tamaa lwa lowasa, UPINZANI NDO ULIBADILIKA SIYO SLAA
Mbona Mnyika, au Kigaila hawakuhama? Walijitenga tu ila baadae walipoondoka kina Lowassa hao wamekua active tena.

Kama angekuwa mvumilivu mbona angemu-outlive Lowassa few years later. Na pengine angekiongoza chama kuelekea uchaguzi wa 2020.

Tukubali Slaa was wrong to dessert chama kipindi walipomuhitaji sana..... Angesema wazi tu kuwa hamu endorse lakini anaheshimu public opinion fullstop.
 
Hamna baraka yoyote ile - wale wamo humo kwa tiketi ya Chama Cha Ndungai aka CHACHANDU

Hizo bwembwe za hoja ya wizi wa kura Kawe ni mipango yao na CCM kupata justification ya kuwemo humo - kuwahandaa wana CDM na watanzania
 
Kila mtu Ana njia yake ya Kuyatatua mambo yanayomzonga!

Tuwe wakweli Mnyika Hakuwai Kupigania Ustawi wa Chama Kama Slaa, na Slaa kwa kipindi Kile ndo alikuwa kwenye risk kubwa zaidi,

Alafu Kati ya Kete Mbovu alizowai kusukuma Mbowe ni hiyo ya 2015

Tukubali Mbowe ni Mwamba, Ila kwa mwaka 2015 alizingua

Britannica
 
Kuna Kisauti kinanjia Kuhusu Mbowe kubariki Viti Maalumu hapo awali kwa makubaliano ya kuwa siri na kujifanya hana habari.

Hii yaweza kuwa kwa maslahi mapana ya Chama (Ustawi na kutofutika).

Ni mawazo yangu ila tuwaze nje ya Box.

Britannica
Dada wahi kipimo china inawapa bure chanjo kwa urafiki wao na ccm...undgu ndio huo
 
Kete mbovu kivipi? Hvi kwa hype ya magufuli 2015 unadhani nani angeweza mchallenge hadi kumneutralize kiasi kile zaidi ya Lowassa tu?? Nadhani benefits zilikua kubwa kuliko hasara zake maana ndio ushindi mkubwa zaidi wa upinzani katika historia na kma tume ingekua transparent zaidi tungekua na serikali by now.

Kwamba Mnyika hakuwahi kupigania ustawi? Mnyika mpaka alitelekeza jimbo ili akajenge chama mikoani.... Bungeni Nadhani wote tuliona alivyojitahidi kujenga hoja za kueleweka. Lakini kutokuhama kumempa heshima leo hii katibu Mkuu hta Zitto kma angekua mvumilivu leo hii angekua Mwenyekiti CHADEMA.

Kwenye masuala ya siasa au vita za mamlaka ustahimilivu ndio kila kitu, unasubiri adui yako apoe nguvu alafu unampiga knock out kubwa!! Sio kukata tamaa na kukimbia.
 
Kuna Kisauti kinanjia Kuhusu Mbowe kubariki Viti Maalumu hapo awali kwa makubaliano ya kuwa siri na kujifanya hana habari.

Hii yaweza kuwa kwa maslahi mapana ya Chama (Ustawi na kutofutika).

Ni mawazo yangu ila tuwaze nje ya Box.

Britannica
hiyo inaitwa siri sirini, ila walisahau ya kuwa watakuja kuumbuka kwa kuudanganya umma wa wana CDM. Kweli pesa tamu.

Ila watu walitaka Mdee aishi vp ikiwa maisha yake yote ni mdomo tuu ndio umpao tonge? Mlitaka akaimbe qaswida? Kwanini mwenyekiti asiingilie kati hali ya watu wake kimaslahi?
 
Ile karata ya 2015 aliyocheza mbowe athari zake tumeziona sote. Kupata wastani wa A-plus kwenye test na kuja kupata wastan F au zero mtihani wa kuhitimu ni akili ya matope, na ndicho kilicho ikuta CDM.

Saiv upinzani upo dhoofu-lihali,
 
Kuna Kisauti kinanjia Kuhusu Mbowe kubariki Viti Maalumu hapo awali kwa makubaliano ya kuwa siri na kujifanya hana habari.

Hii yaweza kuwa kwa maslahi mapana ya Chama (Ustawi na kutofutika).

Ni mawazo yangu ila tuwaze nje ya Box.

Britannica
kweli kabisa
 
nadhani hio sauti ilichelewa Mimi siku wanakubaliana nilishaoneshwa kabisa
 
Kwa jinsi chadema wanavyolishugulikia ni wazi kabisa wana baraka za viongozi wa juu, Baraza kuu mpaka sasa limeshindwa kukaa na kutolea maamuzi rufaa ya kina Mdee ni wazi kabisa kuna kitu kinachoendelea hatukijui
 
Shida ilianza baada ya katibu mkuu na jopo lake kuanza kulituhumu bunge, wazee wa hizi shuhuli wakaja na mkakati kabambe wa kuhakikisha katibu mkuu na jopo lake wanaufyata mkia na kuwa wanyonge na plan ikafaulu. Watu wanaendelea kula mema ya nchi kwa mwamvuli wa upinzani

hapo ndio utajua ya kuwa kwenye uwanja wa siasa hakuna rafiki wala adui wa kudumu, ni mwendo wa kucheza na nyakati tuu
 
CDM wote wapigaji, sema wanatofautiana mbinu & ukubwa wa matokeo/ mavuno. Alianza Mnyika, wakavunga vunga na kujifanya hawajui, akaja mwnyekit nae pia wakapotezea, alipoibuka sauti ya zege na bingo lake wahuni wama-mind eti kwanini amevuna mavuno mengi wakati kapanda kwa nguvu zetu???

Muosha huoshwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…