britanicca
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 16,295
- 33,994
- Thread starter
-
- #201
Sawa! Swali je baraka hizi ni kwa maneno au maandishi?
Ile karata ya 2015 aliyocheza mbowe athari zake tumeziona sote. Kupata wastani wa A-plus kwenye test na kuja kupata wastan F au zero mtihani wa kuhitimu ni akili ya matope, na ndicho kilicho ikuta CDM.
Saiv upinzani upo dhoofu-lihali,
Mwenyekiti anavyo andamwa na watawala ingekuwa ni kweli ihgeishavujishwa Ili kumdhoofisha.Kuna Kisauti kinanjia Kuhusu Mbowe kubariki Viti Maalumu hapo awali kwa makubaliano ya kuwa siri na kujifanya hana habari.
Hii yaweza kuwa kwa maslahi mapana ya Chama (Ustawi na kutofutika).
Ni mawazo yangu ila tuwaze nje ya Box.
Britannica
Ila wewe MSAGA SUMU na Troll JF una vitukoKuna Kisauti kinanjia Kuhusu Mbowe kubariki Viti Maalumu hapo awali kwa makubaliano ya kuwa siri na kujifanya hana habari.
Hii yaweza kuwa kwa maslahi mapana ya Chama (Ustawi na kutofutika).
Ni mawazo yangu ila tuwaze nje ya Box.
Britannica
We jamaa unateseka sanaKuna Kisauti kinanjia Kuhusu Mbowe kubariki Viti Maalumu hapo awali kwa makubaliano ya kuwa siri na kujifanya hana habari.
Hii yaweza kuwa kwa maslahi mapana ya Chama (Ustawi na kutofutika).
Ni mawazo yangu ila tuwaze nje ya Box.
Britannica
Na ni Mbowe aliyewaapisha?Kuna Kisauti kinanjia Kuhusu Mbowe kubariki Viti Maalumu hapo awali kwa makubaliano ya kuwa siri na kujifanya hana habari.
Hii yaweza kuwa kwa maslahi mapana ya Chama (Ustawi na kutofutika).
Ni mawazo yangu ila tuwaze nje ya Box.
Britannica
Hivi unadhani kama wangenKuna Kisauti kinanjia Kuhusu Mbowe kubariki Viti Maalumu hapo awali kwa makubaliano ya kuwa siri na kujifanya hana habari.
Hii yaweza kuwa kwa maslahi mapana ya Chama (Ustawi na kutofutika).
Ni mawazo yangu ila tuwaze nje ya Box.
Britannica
Mbowe awaapishe kwa wadhifa gani alionao bungeni? Mbowe kawapeleka spika kawaapisha.Na ni Mbowe aliyewaapisha?
Amandla...
Na Spika alikuambia peke yako kuwa wakina Halima walipelekwa na Mbowe? Unadhani ingekuwa hivyo, Spika angeacha kusema leo?Mbowe awaapishe kwa wadhifa gani alionao bungeni? Mbowe kawapeleka spika kawaapisha.
Hakuna mtu mwenye uwezo wa kujipeleka bungeni akaapishwa na akawa mbunge.
Naam, deep secretKuna Kisauti kinanjia Kuhusu Mbowe kubariki Viti Maalumu hapo awali kwa makubaliano ya kuwa siri na kujifanya hana habari.
Hii yaweza kuwa kwa maslahi mapana ya Chama (Ustawi na kutofutika).
Ni mawazo yangu ila tuwaze nje ya Box.
Britannica
Mbowe siyo gaidiKuna Kisauti kinanjia Kuhusu Mbowe kubariki Viti Maalumu hapo awali kwa makubaliano ya kuwa siri na kujifanya hana habari.
Hii yaweza kuwa kwa maslahi mapana ya Chama (Ustawi na kutofutika).
Ni mawazo yangu ila tuwaze nje ya Box.
Britannica
Kwa hyo Ndugai kakubaliana na Mbowe? Hapana wale wabunge wataendelea kuwa wabunge kwa haraka za spika, nao ni ubabe tu