Kuna sayari zaidi ya Billioni 100 katika Universe, Je Viumbe hai tupo peke yetu ?

Kuhusu universe ilo ni fumbo kubwa sana la mwenyezi Mungu sema huwa na appreciate the way scientist wanavyofanya innovation kila kukicha ila hawawezi imaliza hata siku moja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unacho kisema kinawezekana ila kwa asilimia ndogo sana. Ukiangalia timeline of the universe we are relatively in the beginning na uwezekano wa kuwepo viumbe kabla yetu waliofikia 10D ni kama haupo.
Na kuhusu string theory, watu wengi hawaiamini na ina shortcomings nyingi. Pia scientists wengi siku hizi hawaconsider time kama dimension
 
Siamini katika theory of evolution au tuseme evolution waliotuaminisha akina Darwin.
Pamoja na hizo "evidence" ambazo bado ni conspiracies hakuna tangible scientific proof kuonesha kuwa aliens have ever visited or been detected. Kukubali moja kwa moja kuwa aliens wanaexist inahitaji way more evidence ambayo haina vipingamizi vingi.
 
Hakuna maisha baada ya kifo na maanisha,kuendekea kufikiri kuna maisha baada ya kifo huo ni uoga tu,tumefundishwa hofu ya mungu lakini mungu akijificha anaishi kusiko julikana.wakristo tunasema anaishi popote mbaka leo bado haijulikani mungu nini hasa na kuogopa kuwa na hofu na vitu walivyo andika waandishi ni uoga tu.
Kusema definitively kuwa hamna maisha baada ya kifa ni kujifunga akili yako isifikirie zaidi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

You might be right katika upande mmoja, but may be wrong on the other. Researches za UFO's waliamua kuzi-abondon wa-Marekani kutokana na vitu vitatu vikubwa. Moja ni baada ya kuona kuwa UFOs hawakuwa wana-pose threats zozote katika dunia yetu, pili ni baada ya kuona kuwa hata kama wakiamua kuwa threats kwetu, hatuna technology ya kuweza kuwa-counter attack na tatu, vyombo vya usalama vya Marekani kuepusha paniki kwa dunia nzima kama wananchi wa kawaida wangeweza kujua kuwa kuna viumbe wengine wanaoishi kwenye sayari zingine ambao wakiaamua wana uwezo wa kuishambulia dunia na isifanye chochote. However, you might be right kwamba hizi nazo pia zinaweza kuwa ni conspiarcy theories tu!
 
Sisi Waislam tunajua kuwa Kuna viumbe huko mbinguni na ardhini vinavyo ishi.Sasa kazi kwenu ninyi mnaojifanya humumu amini Mungu.

21:16

Na hatukuziumba mbingu na ardhi na vilivyo baina yao kwa mchezo.

21:19

Na ni vyake Yeye tu Mwenyezi Mungu vilivyomo mbinguni na katika ardhi. Na walioko kwake hawafanyi kiburi wakaacha kumuabudu, wala hawachoki



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Major decision ilikuwa ni kutokuwatia hofu wanaulimwengu kuwa kuna hawa jamaa from other galaxies na dimensions.

Sent using Infinix hot 4
 
Si kila kiumbe anatukia oxygen na maji hivyo kusema sayansi hazina mazingira ya uhai ni kosa wapo viumbe wengine kwenye mojawapo ya sayansi za mbali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nangojea watengeneze telescop ya kuona mbinguni waseme ni kilometa ngapi ,huko ndo kunafaa kwenda izo zingine hazina kazi, naskia uko mbinguni kuna uhai kuna wazee 24, malaika waku shato , majengo ka yote, ardhi ni dhahabu zaid ya geita,uko wanaimbaga ala za roho,zinakuga kumoyo, huku nadhani tukipita izi sayari bilion100, hapo juu yake ndichi kulia tutafika mbuguni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…