Mkuu...Watu hawataelewa kwanini tunadelay kupata mawasiliano ya moja kwa moja na viumbe toka mbali ,..........
,Ni kwa sababu ya Time space continuum tofauti iliyopo katika anga la dunia hii na ulimwengu unaotuzunguka..
3D ndo inayotufanya tushindwe kujua what is happening outside au ndani ya ulimwengu huu kwa undani.
Leo hii tunahangaika na Treni za mwendo kasi lakini wenzetu toka sayari za mbali wapo kwenye HYPERLOOP technology ambayo treni zinakimbia kwa kutumia magnetic forces halafu tunadanganywa kuwa ELON MUSK ndo anayebun sijui kupata cretivity wakati anajaribu kunlock hidden reality katika higher technology ya sayari za mbali huko tena wao washapita...
Telescope tulizonazo zina uwezo wa kuview distant objects katika 3D na kidogo 4D ambayo tunaita Euclidean 4D space ambayo inatumia continum moja ya time
tu..
Kwa hiyo 4D ni time wakati 1D ni height ,2D ni length kama sijazichanganya na 3D ndi hizo tatu zinazo involve Heinght ,length na Width ( x,y,z planes).
Lakini hiyo 4D tu yenyewe imetushinda kuielewa vizuri make bado kuna utata sana katika kupata exactly value ya vitu katika movement ya 4D ..
Ukisoma Superstring Theory,ambayo inaiongelea vizuri the fifth and sixth dimensions ,inasema kuwa this is where the notion of possible worlds arises,na kuna uwezekano kuwa kuna 5D na 6D .
If we could see on through to the fifth dimension, nathani tungekuwa na uwezo wa kuona vitu katika dimension kubwa sana kwa mfumo tofauti tofauti...
we would see a world slightly different from our own that would give us a means of measuring the similarity and differences between our world and other possible ones.
Wakati movement katika sayari za mbali inakadiliwa kuwa katika 10D ( ten dimension)..so katika dimension hii tunaweza kuona kila kitu wala hakuna uhitaji wa kuwa na CCTV camera kabisa....unaweza view hata vitu vilivyopo juu ya kichwa chako au kichogo chako ....
We arrive at the point in which everything possible and imaginable is covered. Beyond this, nothing can be imagined by us lowly mortals, which makes it the natural limitation of what we can conceive in terms of dimensions.
Ila ukisoma a grand unifying theory a.k.a the Theory of Everything (TOE) there is the belief that ,the universe is made up of ten dimensions na hapa kila kitu kipo wazi huhitaji kitu kingine kuona hata virusi..your eyes can view hata utumbo wa virusi kama upo...ila sasa kufikia huko ni ngumu ndo mana wakati mwingine tunashindwa kuwaona wale viumbe sadikika kama sio kuzungumzika katika lowest dimension form (3D).
Ila wao wanatuwachi mpaka ndani ya ubongo wetu ndo mana kila wazo unaloliwaza tayari linafanyiwa reverse kama ni baya zidi yao...they might be real watching us...
Utofauti huo wa 3D na Dimension zingine ndo unaotufanya tuseme kuwa kuna parallel universe kabisa katika maisha haya...
Means ya parallel universe ni kwamba wewe unatazama vitu kwa mfumo flani ila mwenzako anautazama zaidi ya wewe hence kufanya mpishane ha hamtaweza kuonana wala kugusana na parallel universe meansi mnaishi kwa kuview na kuishi katika mfumo tofauti ambao hamuwezi ingiliana ..
That's is parallel life form ...yani yeye anaweza akapita hata katikati ya mwili wako bila wewe kuhisi contact yoyote au akaweza kupanua hii space hii ili apate njia ya kupita.......
The dimension difference existing ndo inayotufanya tuwe tofauti na tushindwe kuonana ...mpaka wao wajiweke wazi kwetu..kumbuka wapo katika The last 10D ambayo hii 3D yetu ipo ndani so they can manipulate the dimension view yoyote wanayotaka wao...wanaweza kuja duniani wakaamua kuonekana au wasionekane kwa sababu wanao uwezo huo wa kuviolet time space continuum yetu...
Ndo mana mimi huwa nanyamaza ninapowaona watu wakibishi( sha) na kusema kuwa hakuna Viumbe toka sayari za mbali( Aliens) with other names you can call ..
==========
Watu wanasema kama kweli wapo kwanini hawajawahi kujiweka wazi tuwaone kwa macho yetu...macho yetu...?? real....?? yani viumbe wapo 10D humo wewe 3D na macho yako hayo yenye kuview vitu kwa megapixel 756 wakati wao macho yao yanabiew katika Gigapixeal kabisa....daaah...
wanakomaa kweli eti kama kweli wangekuwepo kwanini wasijioneshe kwetu...??
Jibu ni kwamba wao wapo katika 10D na sisi tupo kwenye 3D ambapo bado tunahangaika kuimaster hata hiyo 4D ambayo ni muda( Time ) ili tusynchronize na space ili tupate kitu kimoja cha spacetime ili tuweze nasi angalau kusafiri kwa speed ya light lakini tulijaribu hilo kupitika jaribio la Philadelphia EXPERIMENT na madhara makubwa yalionekana nadhani kila mmoja anaweza google walau apate ABC ya madhara ya Philadelphia experiment...ni hatari sana..narudia tena kumaster 4D ni kazi kubwa sana ,sembuse 10D huko.......!!! mmmmh...
===========
Tuendelee kuwa wapole tu...nchi za mbali huko walishakubali kabisa kuwa lazima tuwe wapole tuelekezwe namna ya kusavaivu kwenye huu ulimwengu wenye options nyingi za kuishi....la sivyo tutakiona cha moto cha kubaki kama mazezeta...
Unachokiona huko China,U.S.A ,RUSSIA na kwingineko ambapo technology inakuwa kwa kasi wemeshakubali kwa lolote ili mradi mwanadamu apate kujua hatima ya mind yake na kujua limitation zake pamoja na kuzivuka...
So kuna mengi ya kuzungumza juu ya uwepo wa mwanadamu na uhusiano na hao viumbe wakuu...Usione serikali zimenyamaza tena kwa kuufyata mdomo kabisa...there are strange stories about reality....