Kuna sehemu ina vibaka wengi Dar Es Salaam kama Kiwalani?

Huku kuna vibaka na wahuni aisee! Ukiwa mgeni hujulikani unaweza ukakabwa hata mbele ya wamama wakaanga sambusa na wakabaji wasifanywe kitu chochote.

Kuna sehemu ya kuizidi Kiwalani kwa vibaka?

Tushirikishe
Kiwaside ,kiwabusy mc ndani ya rap safari yeeeee! For Real, Nini mnataka mazeeeee!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…