Best home tutor
Senior Member
- May 8, 2026
- 194
- 268
Habari!
Kuna mtazamo mmoja hivi kwamba watu ambao huwa wanaonekana ni wasumbufu lakini ni public figure mfano Balozi polepole na Mdude Nyagali pengine Kuna mahala wanaweza kuwa wamehifadhiwa kwa mda tu huku wanapata huduma muhimu hasa ikiwa watu kama hawa huwa wanahusishwa na serikali.
Huu mtazamo binafsi naona ni wa Uongo ,Serikali haiwezi kuingia gharama za kumchukua mtu halafu zikamuhifadhi tu sehemu zaidi ya miezi na miaka .
Inapotokea matukio kama haya maoni Yangu ni vyema tukasubiria mrejesho wa uchunguzi wa polisi kuliko kuwa tunatengeneza fictions za Uongo.
Vipi mdau wewe mtazamo wako ni upi?