Best home tutor
Senior Member
- May 8, 2026
- 194
- 268
Kwani history ya mugabe,iddi amin,bashiru na watawala waovu ufahamu.
Nenda pale uganda kuna makumbusho utaona vituo vya kuua,kumalizia watu leo ni kivutio kwa watalii ila na yeye mseveni ana kambi zake mpya.
Huyu mtu anakua hatoki nje ni kama yuko gerezani Ila kila kitu anapewa?
Kwa nini umewaita wasumbufu?Habari!
Kuna mtazamo mmoja hivi kwamba watu ambao huwa wanaonekana ni wasumbufu lakini ni public figure mfano Balozi polepole na Mdude Nyagali pengine Kuna mahala wanaweza kuwa wamehifadhiwa kwa mda tu huku wanapata huduma muhimu hasa ikiwa watu kama hawa huwa wanahusishwa na serikali.
Huu mtazamo binafsi naona ni wa Uongo ,Serikali haiwezi kuingia gharama za kumchukua mtu halafu zikamuhifadhi tu sehemu zaidi ya miezi na miaka .
Inapotokea matukio kama haya maoni Yangu ni vyema tukasubiria mrejesho wa uchunguzi wa polisi kuliko kuwa tunatengeneza fictions za Uongo.
Vipi mdau wewe mtazamo wako ni upi?
Mfano kwa Tanzania nani aliwahi weka safe place.kwangu mimi nachoona propability za hawa watu wetu kuuwawa ni 80%
Wanahitaji maombi yetu kweli huko walikoInawezekana maana kuwahudumia watu watano mpk kumi kwa serikali siyo shida.
Kuwekwa kizuini na sellikale kutoa huduma inawezekana.
Yooote kwa yoote tuwaombee.
Wanakua wanaonekana wasumbfu kwa mamlaka kwa kukosoa kila juhudi.Kwa nini umewaita wasumbufu?
Wametunzwa jehanam, gharama bi juu shetani usiwe na wasiwasiHabari!
Kuna mtazamo mmoja hivi kwamba watu ambao huwa wanaonekana ni wasumbufu lakini ni public figure mfano Balozi polepole na Mdude Nyagali pengine Kuna mahala wanaweza kuwa wamehifadhiwa kwa mda tu huku wanapata huduma muhimu hasa ikiwa watu kama hawa huwa wanahusishwa na serikali.
Huu mtazamo binafsi naona ni wa Uongo ,Serikali haiwezi kuingia gharama za kumchukua mtu halafu zikamuhifadhi tu sehemu zaidi ya miezi na miaka .
Inapotokea matukio kama haya maoni Yangu ni vyema tukasubiria mrejesho wa uchunguzi wa polisi kuliko kuwa tunatengeneza fictions za Uongo.
Vipi mdau wewe mtazamo wako ni upi?
Tatizo sijawahi sikia hata mmoja akisema amewahi pelekwa huko ndio maana nasema sehemu hiyo haipoInawezekana maana kuwahudumia watu watano mpk kumi kwa serikali siyo shida.
Kuwekwa kizuini na sellikale kutoa huduma inawezekana.
Yooote kwa yoote tuwaombee.
Hakuna aliyewahi kuachiliwa aka akapatikana akatoa ushahidi....dah wamemuua asee ila sasa mbona familia yake iko kimya haijitokezi kulalamika kama mwanzo kwenye vyombo vya habariMfano kwa Tanzania nani aliwahi weka safe place.
hiyo bajeti ya kuwahifadhi huwa inasomwa mbungeni? Au inafanyiwa Reallocation lakini pia lazima ijulikane..Vip taarifa za CAG huwa zinafafanua? kama hakuna basi kutakuwa na matumizi ya hovyo.Inawezekana maana kuwahudumia watu watano mpk kumi kwa serikali siyo shida.
Kuwekwa kizuini na sellikale kutoa huduma inawezekana.
Yooote kwa yoote tuwaombee.
Hakuna haja ta kuhangaika na watu wa aina hiyo.Waachwe tu maana ni haki yao kutoa maoni,isipokuwa wakivunja sheria ndipo wakamatwe na kushtakiwa mahakamaniHabari!
Kuna mtazamo mmoja hivi kwamba watu ambao huwa wanaonekana ni wasumbufu lakini ni public figure mfano Balozi polepole na Mdude Nyagali pengine Kuna mahala wanaweza kuwa wamehifadhiwa kwa mda tu huku wanapata huduma muhimu hasa ikiwa watu kama hawa huwa wanahusishwa na serikali.
Huu mtazamo binafsi naona ni wa Uongo ,Serikali haiwezi kuingia gharama za kumchukua mtu halafu zikamuhifadhi tu sehemu zaidi ya miezi na miaka .
Inapotokea matukio kama haya maoni Yangu ni vyema tukasubiria mrejesho wa uchunguzi wa polisi kuliko kuwa tunatengeneza fictions za Uongo.
Vipi mdau wewe mtazamo wako ni upi?
Asilimia chache sana hizo. Iangalie vizuri ile sura ya yule mama na matamko yake anayo yatoa hadharani, halafu utakubaliana na mimi.kwangu mimi nachoona propability za hawa watu wetu kuuwawa ni 80%