Kuna sehemu nzuri ya kutunza watu hawa ? Au ni story?

hiyo bajeti ya kuwahifadhi huwa inasomwa mbungeni? Au inafanyiwa Reallocation lakini pia lazima ijulikane..Vip taarifa za CAG huwa zinafafanua? kama hakuna basi kutakuwa na matumizi ya hovyo.
Unafanya auditing kwenye hii gvt weee bwana. Unaseme Reallocation teena vingapi vinaombewa bajeti na havifanywi. Kwani unafikiri zile pesa zinazoombewa zinaend wapi. Ni kuzimove kwa vote moja kwenda vote nyingine.
 
Hakuna kuhifadhiwa ,hao walishamalizana nao.

Mdude mwaka ushakatika na pole pole mwaka utakata itaenda mwaka wa pili ,wa tatu ,10 ,20 bila kuonekana.
 
Kama mtu alikuwa tishio kwa maslahi ya watawala, suluhisho la mwisho na la gharama nafuu zaidi duniani kote huwa ni moja tu: Elimination.

Usije ukadanganyika na hizo story unazozisikia vijiweni.
 
Kama mtu alikuwa tishio kwa maslahi ya watawala, suluhisho la mwisho na la gharama nafuu zaidi duniani kote huwa ni moja tu: Elimination.

Usije ukadanganyika na hizo story unazozisikia vijiweni.
Hakika mtoa mada na wengine wanao fikiria vinginevyo wanapaswa waelewe hiki ulicho andika.

Pia wanapaswa wajiulize una mtunza mtu sirini ili baadae IWEJE?

Ile wkend polepole anachukuliwa raisi alikuwa dar short break. Walipo malizana na polepole akarudi mwanza akiwa ta tabasamu pana
 
Inawezekana maana kuwahudumia watu watano mpk kumi kwa serikali siyo shida.
Kuwekwa kizuini na sellikale kutoa huduma inawezekana.
Yooote kwa yoote tuwaombee.
Sasa zile damu zilizomwagika zilikua za nani nguruwe au mbuzi?
 
Hakika, maana huyo mtu anayewekwa kizuizini akitoka anaweza kusema kila kitu.

Suluhisho la mwisho la watawala wengi huwa ni kumzima taa kabisa huyo mtu.
 
Mdude zilitapakaa damu anabulutwa
HP ni midamu tu chumbani sebuleni

Au wewe upo Malawi ipi?
Miye sijawataja wala kuwadiscuss hao watu. Tuna assumes sehemu walizowekwa fuul stop. Malawi Kenya hainihusu.
 
Ilikua lazima abeti
 
Kipindi cha Nyerere ilikuwepo, unaweza kuchukuliwa Kama ilivyo hii Leo wahuni wa usalama wanavyofanya halafu ukakaa Sana hata mwaka bila kujulikana uko wapi, unaweza kuuawa au kutolewa Kwa maana ya kutupwa Tu porini au barabarani, hichi ni Kipindi cha Nyerere but kwasasahivi probably unapelekwa kuzimu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…