Nigrastratatract nerve
JF-Expert Member
- Sep 4, 2019
- 1,521
- 4,381
Kwa wajuvi na wafuatiliaji wa Mambo mtanikubalia kuwa Gwajima hutumika kuwa Kama neutralizer wa mambo mbalimbali kwa mfano sasa hivi leo kuna mambo hayajajadiliwa kabisa na jamii ya Watanzania na ni mambo ya msingi sana kwa mfano suala la tozo kupunguzwa kwa 30% badala ya kufutwa kabisa
Suala jingine linalopita kiulaini laini ni suala la Mbowe yaani hili nalo hakuna anayelifuatilia kwa hiyo Gwajima ni mbadilisha upepo wa mijadala iendeleayo nchini
Kwa mfano mdogo tu ni rahisi kutengeneza movie mpaka mwaka 2024 na hatimaye uchaguzi