ochu hulker
Member
- Apr 16, 2013
- 18
- 5
Ninachoshangaa mimi ni kwanini Lema apewe dhamana kwa kesi ya
uchochezi na kwanini Ponda anyimwe dhamana kwa kesi hiyohiyo ya uchochezi je hii ni haki katika nchi hii inayoitwa ya utawala bora najua nitatukanwa kutoka upande wa CCM,CHADEMA na WlAKRISTO
gaidi wapi wewe,hebu weka ushahidi wa ugaidi wa ponda hapa.Ponda ni GAIDI anayetaka wenzake wajilipue waende wakapewe bikira 72. Yeye hazitaki.
mimi nashauri serikali iache tu kuwashitaki hao chadema kwa uchochezi,kesi zao zote hakuna inayoendeleaga zote zinapotea kimiujiza tu.Shitaka la uchochezi la Ponda lilikuwa ni moja, ila kuna mengine manne zaidi likiwapo la kuvamia na kujimilikisha kiwanja na kuiba mali ya sh. milioni 59.7. Sasa huwezi kujua DPP amemzuia kwa usalama wake kwa kosa gani kati ya hayo matano
hebu tuwekee sifa za mtu ili awe mchochezi?Ponda ni mchochezi afu Gaidi la kimataifa. Lema alipakaziwa kuwa ni mchochezi lkn sio kweli kwani ata cd haioneshi hivyo ila Mkuu wa Mkoa alikurupuka saana!
hahaha, nilijua ni mimi pekee ninayeogopa kuanzisha uzi hapa JF kwa kuogopa mitusi, kumbe tupo wengi......maana Jf ya sasa hivi, usipopost kitu cha kusapot chadema we ni matusi tu, kwako hadi kwa wazazi wako ambao hata hawajui kuwa kuna kitu umepost huku, ila wanaambulia matusi tu...kama mie jana nilitukaniwa hadi wazazi wangu ambao sasa hivi ni marehemu...Mungu awalaze mahali pema peponi....ila pia uzuri wa JF, wanaotukana mtu aliyeandika vibaya chadema, hapigwi ban hata kidogo...Ninachoshangaa mimi ni kwanini Lema apewe dhamana kwa kesi ya
uchochezi na kwanini Ponda anyimwe dhamana kwa kesi hiyohiyo ya uchochezi je hii ni haki katika nchi hii inayoitwa ya utawala bora najua nitatukanwa kutoka upande wa CCM,CHADEMA na WlAKRISTO
Ninachoshangaa mimi ni kwanini Lema apewe dhamana kwa kesi ya
uchochezi na kwanini Ponda anyimwe dhamana kwa kesi hiyohiyo ya uchochezi je hii ni haki katika nchi hii inayoitwa ya utawala bora najua nitatukanwa kutoka upande wa CCM,CHADEMA na WlAKRISTO
kwi kwi kwi!mbona umejihami fasta?
mhhhhh, haya sasa msheshaanza siyo?
unajihami sana, tatizo ndio hapo tu, kwamba watu wataanza kuangalia mada yako si kwa kutafutia majibu sahihi bali kwa kuangalia motive behind post yako.
Kwa mfano wakristo wanaingiaje hapo? Wapi katika kumbukumbu yeyote wakristo waliiambia mahakama wasimpatie shekhe ponda dhamana? Wapi wakristo walikuwa na ushawishi wa moja kwa moja au vinginevyo katika kesi ya ponda?
Je, wewe kwa kutizama mashitaka ya lema na ponda kwa kuangalia background au chanzo cha makosa wanayoshitakiwa nayo unaweza kutushawishi kwamba wameshitakiwa kwa makosa yanayofanana na yenye uzito sawa?
Nina mengi ya kusema, ila tu nikutahadharishe ndugu yangu kwamba umimi na uwewe, au sisi na wao, kwa minajili ya dini ni utumwa mkubwa na kufilisika kimawazo kuliko unavyofikiri. Madhara yake yatakutafuna wewe mwenyewe na vizazi vyako vyote.
Kwa ufupi acha uduni kiongozi.....
Ninachoshangaa mimi ni kwanini Lema apewe dhamana kwa kesi ya
uchochezi na kwanini Ponda anyimwe dhamana kwa kesi hiyohiyo ya uchochezi je hii ni haki katika nchi hii inayoitwa ya utawala bora najua nitatukanwa kutoka upande wa CCM,CHADEMA na WlAKRISTO
gaidi wapi wewe,hebu weka ushahidi wa ugaidi wa ponda hapa.
Bikra 72 je?