Kuna sheria tofauti katika kuhukumu kesi ya uchochezi

ochu hulker

Member
Joined
Apr 16, 2013
Posts
18
Reaction score
5
Ninachoshangaa mimi ni kwanini Lema apewe dhamana kwa kesi ya
uchochezi na kwanini Ponda anyimwe dhamana kwa kesi hiyohiyo ya uchochezi je hii ni haki katika nchi hii inayoitwa ya utawala bora najua nitatukanwa kutoka upande wa CCM,CHADEMA na WlAKRISTO
 
Ponda ni mchochezi afu Gaidi la kimataifa. Lema alipakaziwa kuwa ni mchochezi lkn sio kweli kwani ata cd haioneshi hivyo ila Mkuu wa Mkoa alikurupuka saana!
 
mhhhhh, haya sasa msheshaanza siyo?

unajihami sana, tatizo ndio hapo tu, kwamba watu wataanza kuangalia mada yako si kwa kutafutia majibu sahihi bali kwa kuangalia motive behind post yako.

Kwa mfano wakristo wanaingiaje hapo? Wapi katika kumbukumbu yeyote wakristo waliiambia mahakama wasimpatie shekhe ponda dhamana? Wapi wakristo walikuwa na ushawishi wa moja kwa moja au vinginevyo katika kesi ya ponda?

Je, wewe kwa kutizama mashitaka ya lema na ponda kwa kuangalia background au chanzo cha makosa wanayoshitakiwa nayo unaweza kutushawishi kwamba wameshitakiwa kwa makosa yanayofanana na yenye uzito sawa?

Nina mengi ya kusema, ila tu nikutahadharishe ndugu yangu kwamba umimi na uwewe, au sisi na wao, kwa minajili ya dini ni utumwa mkubwa na kufilisika kimawazo kuliko unavyofikiri. Madhara yake yatakutafuna wewe mwenyewe na vizazi vyako vyote.

Kwa ufupi acha uduni kiongozi.....
 
Ponda ni GAIDI anayetaka wenzake wajilipue waende wakapewe bikira 72. Yeye hazitaki.
 
Ninachoshangaa mimi ni kwanini Lema apewe dhamana kwa kesi ya
uchochezi na kwanini Ponda anyimwe dhamana kwa kesi hiyohiyo ya uchochezi je hii ni haki katika nchi hii inayoitwa ya utawala bora najua nitatukanwa kutoka upande wa CCM,CHADEMA na WlAKRISTO

huwa namshangaa ponda uislamu unawataka wanaume waislamu wasiokuwa na ndevu wavae niqab kwa sababu wanavutia kama wanawake na huwatia majaribuni wanaume wenye ndevu(fitna) yeye amegoma kabisa pamoja na kutokuwa na ndevu kwa hili ponda si gaidi tu ni kafir pia.
 
Shitaka la uchochezi la Ponda lilikuwa ni moja, ila kuna mengine manne zaidi likiwapo la kuvamia na kujimilikisha kiwanja na kuiba mali ya sh. milioni 59.7. Sasa huwezi kujua DPP amemzuia kwa usalama wake kwa kosa gani kati ya hayo matano
 
mtoa hoja kwa wakristo hamnaga kisasi xo ucjiahami hvyo angalia na aina ya uchochezi pia upi ni halali na upi wa kusingiziwa
 
Shitaka la uchochezi la Ponda lilikuwa ni moja, ila kuna mengine manne zaidi likiwapo la kuvamia na kujimilikisha kiwanja na kuiba mali ya sh. milioni 59.7. Sasa huwezi kujua DPP amemzuia kwa usalama wake kwa kosa gani kati ya hayo matano
mimi nashauri serikali iache tu kuwashitaki hao chadema kwa uchochezi,kesi zao zote hakuna inayoendeleaga zote zinapotea kimiujiza tu.

Ngoja 2015,wawapige chini ndo watajua kuwa ukicheka na nyani utavuna mabua.
 
Ponda ni mchochezi afu Gaidi la kimataifa. Lema alipakaziwa kuwa ni mchochezi lkn sio kweli kwani ata cd haioneshi hivyo ila Mkuu wa Mkoa alikurupuka saana!
hebu tuwekee sifa za mtu ili awe mchochezi?
 
Ninachoshangaa mimi ni kwanini Lema apewe dhamana kwa kesi ya
uchochezi na kwanini Ponda anyimwe dhamana kwa kesi hiyohiyo ya uchochezi je hii ni haki katika nchi hii inayoitwa ya utawala bora najua nitatukanwa kutoka upande wa CCM,CHADEMA na WlAKRISTO
hahaha, nilijua ni mimi pekee ninayeogopa kuanzisha uzi hapa JF kwa kuogopa mitusi, kumbe tupo wengi......maana Jf ya sasa hivi, usipopost kitu cha kusapot chadema we ni matusi tu, kwako hadi kwa wazazi wako ambao hata hawajui kuwa kuna kitu umepost huku, ila wanaambulia matusi tu...kama mie jana nilitukaniwa hadi wazazi wangu ambao sasa hivi ni marehemu...Mungu awalaze mahali pema peponi....ila pia uzuri wa JF, wanaotukana mtu aliyeandika vibaya chadema, hapigwi ban hata kidogo...
 
Ninachoshangaa mimi ni kwanini Lema apewe dhamana kwa kesi ya
uchochezi na kwanini Ponda anyimwe dhamana kwa kesi hiyohiyo ya uchochezi je hii ni haki katika nchi hii inayoitwa ya utawala bora najua nitatukanwa kutoka upande wa CCM,CHADEMA na WlAKRISTO

siyo post ya kwana kama ya 3 ya 4 hivi kama sikosei mara jukwaa la siasa mara la sheria jf sio sehemu ya kuongelea udini kila mara PONDA ahh unakeraaaaaa sio utani hivi chuo cha uhasibu na uislamu vinafanana eh na je Siasa na udini vitu wiwili tofautiii kabisa umekoroga hapo sio utani kajipange kulog in jf dah kwel tanzania ina................
 
Nafikiri mwanzisha uzi huu analo jibu ambalo hataki kuelewa au kukubali! Jibu ni kwamba mmojawapo kati ya washtakiwa hawa hana kosa lolote (achilia mbali kuwa na hatia!), na mwingine ameonekana kuwa na hatia mpaka hapo atakapojinasua kwa ushahidi. Wanaofungua mashtaka vilevile wanajua kwamba hapa wanambambikizia mtu au la! Wala mtu hahitaji kuingiza itikadi za kidini hapo! Kwamba washtakiwa hawa wawili wanatoka kwenye dini mbili tofauti ni kama ajali ya maisha wangeweza wote kuwa wa dini moja lakini kukawa na sababu nyingine za kuwatenganisha (k.m. itikadi za siasa)!
 
mhhhhh, haya sasa msheshaanza siyo?

unajihami sana, tatizo ndio hapo tu, kwamba watu wataanza kuangalia mada yako si kwa kutafutia majibu sahihi bali kwa kuangalia motive behind post yako.

Kwa mfano wakristo wanaingiaje hapo? Wapi katika kumbukumbu yeyote wakristo waliiambia mahakama wasimpatie shekhe ponda dhamana? Wapi wakristo walikuwa na ushawishi wa moja kwa moja au vinginevyo katika kesi ya ponda?

Je, wewe kwa kutizama mashitaka ya lema na ponda kwa kuangalia background au chanzo cha makosa wanayoshitakiwa nayo unaweza kutushawishi kwamba wameshitakiwa kwa makosa yanayofanana na yenye uzito sawa?

Nina mengi ya kusema, ila tu nikutahadharishe ndugu yangu kwamba umimi na uwewe, au sisi na wao, kwa minajili ya dini ni utumwa mkubwa na kufilisika kimawazo kuliko unavyofikiri. Madhara yake yatakutafuna wewe mwenyewe na vizazi vyako vyote.

Kwa ufupi acha uduni kiongozi.....

Nakupa like mkuu,uraibu wa dini ni utumwa mbaya kuliko utumwa wote uliowahi kutokea,kwani hauruhusu akili kufikiri kwa kina bali mwitikio wa hisia kutokana na kile mtu alicholishwa hata kama kina mapungufu ya wazi

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Ninachoshangaa mimi ni kwanini Lema apewe dhamana kwa kesi ya
uchochezi na kwanini Ponda anyimwe dhamana kwa kesi hiyohiyo ya uchochezi je hii ni haki katika nchi hii inayoitwa ya utawala bora najua nitatukanwa kutoka upande wa CCM,CHADEMA na WlAKRISTO

Anzishen mahakama ya kadh ili mumpe dhamana
 
Back
Top Bottom