Kuna Shida Africa Kusini

Kuna Shida Africa Kusini

leo nmewaona vijana kibao wameshuka toka sauzi sijui ndo kimenuka huko
Wamepewa deadline ukikutwa huna ID ya afrika kusini kifo kinakuhusu. Wawaachie linchi lao kwani sh.ngapi tena kwa wabongo waondoke haraka sana mbona bongo ulaya tu wazungu wenyewe wanamiminika 24/7 labda kama unatoka Burundi au Kenya huko ndo unaweza kuwaza pa kwenda.
 
Back
Top Bottom