Wamepewa deadline ukikutwa huna ID ya afrika kusini kifo kinakuhusu. Wawaachie linchi lao kwani sh.ngapi tena kwa wabongo waondoke haraka sana mbona bongo ulaya tu wazungu wenyewe wanamiminika 24/7 labda kama unatoka Burundi au Kenya huko ndo unaweza kuwaza pa kwenda.