majiyachupa
Member
- Jul 5, 2011
- 57
- 11
matatizo yanatatuliwa sio kuyakimbia!!!Mojawapo ya sababu za serikali kuhamia Dodoma ni kuipunguzia Dar mizigo kama hii. Tatizo bado wageni wa kimataifa wanapokelewa Dar badala ya Dodoma. Hicho ndicho chanzo cha tatizo kwa asubuhi ya leo; foleni zisizoisha kila mahali mjini kati.
Ameandika kupunguza siyo kukimbia.matatizo yanatatuliwa sio kuyakimbia!!!