Kuna shida gani kwenye magereza nchini Ecuador?

Kuna shida gani kwenye magereza nchini Ecuador?

Hivi gereza zao pia hua hawavai sare maana naona kila mtu ana nguo yake tu
 
Hawakuona mbali Wala nin, Mara ya kwanza walikataa lakin baada ya el Chapo kutoroka, walivyomkamata Tena ikawabidi wampeleke marekani bila kupenda
Sio kweli hiyo sheria ipo tokea enzi za Pablo Escobar..ndo mana yeye alijiapiza bora afe kulikoni akafungwe USA...vile vile sheria hii USA wakimtaka yyt wanamchukua kama ilivyokua kwa mtanzania Shkuba ambaye kafungiwa USA..na huku akisaidia upepelezi
 
  • Thanks
Reactions: y-n
Huko America kusini na Latin America naona nchi pekee yenye utulivu ni Argentina tu.
 
Hawajiungii gerezani mkuu we utalazimika kutoa tako tu sasa sijui itakuaje pale ambapo watalichoka tako lako baada ya pisi kali kutoka India kumwagika

Hawajiungii gerezani mkuu we utalazimika kutoa tako tu sasa sijui itakuaje pale ambapo watalichoka tako lako baada ya pisi kali kutoka India kumwagika
We vipi mbona unakomalia tako tako hatukuelewi ujue humu
 
Back
Top Bottom