Kuna shida Gani na Ukweli?

Kwahyo shida kubwa kwenu ni muda wa kupigwa mambo na sio kuambiwa straight
shida kubwa ni hiyo lkn bonny ata ukinitongoza najua kikubwa ni mgegedo lkn sio siku hiyo hiyo hapana kwakweli ila kila mtu na mtazamo wake ila kwangu mm hapana
 
Babu ni kuhusu kuhonga bana je unapenda mwanamke akuombe hela moja kwa moja au ajibebishe ndio umpe hivi we mzee unahonga kweli
 
Mi sihongi... huwa natoa.

Hii ya kuomba hela anayeniomba ni nani... mama yangu? Dada yangu? Mke wangu? Mchepuko wangu au mwanangu?
 
hapa bonny anamzungumzia mchepuko
ila babu nimekupenda we unatoa unajua wajibu wako sio uombwe wengine kuomba hatujazoea hahah babu kweli ww mwanaume
 
Sasa mchepuko si nimeutaka mwenyewe? Ukitaka hela naupa... kama sina nauambia hali mbaya. Na wenyewe siku nyingine naukopesha afu siurudishii hela yake... chezea babu wewe??
 
hapo sawa babu we toa hela tuuu la sivyo utagongewa
ila hapo kwenye kukopwa na kutolipa nawaza tu ujue mpenzi hakopeshwi yaan ukimkopesha jua umetoa sadaka hairudiii
 
Mi sihongi... huwa natoa.

Hii ya kuomba hela anayeniomba ni nani... mama yangu? Dada yangu? Mke wangu? Mchepuko wangu au mwanangu?
Ha ha ha ha ha naona mzee unakimbiza jibu enhee?
 
hapo sawa babu we toa hela tuuu la sivyo utagongewa
ila hapo kwenye kukopwa na kutolipa nawaza tu ujue mpenzi hakopeshwi yaan ukimkopesha jua umetoa sadaka hairudiii
unasema kwel hayo maneno????
 
unasema kwel hayo maneno????
nasema kweli ndio mpenzi hakopeshwi

mpenzi wako akija kwa gia ya kukukopa halaf hakurudishii hela yako unakaa tu kimya

shida haziishi ipo siku yatamfika atarudi tena ili umsaidie unamwambia tu sina au unamuuliza mbona za mwanzo hazijarudi
 
Ha ha ha ha ha ha asante shunie hapo uso mkavuuuuu
 
Unakuta mtu hajajiaandaa...unakuja ghafla bin vu bila taarifa
 
nasema kweli ndio mpenzi hakopeshwi

mpenzi wako akija kwa gia ya kukukopa halaf hakurudishii hela yako unakaa tu kimya

shida haziishi ipo siku yatamfika atarudi tena ili umsaidie unamwambia tu sina au unamuuliza mbona za mwanzo hazijarudi
Ila mimi manzi niyekuwa kabla ya wakati huu, tulikuwa tunapeana bila kudaiana, akikwama nampa, nikikwama ananipa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…