Kuna shida Gani na Ukweli?

Kuna shida Gani na Ukweli?

Hili sina shida nalo mamdogo mama yako huwa anajinafasi walai
nakuaminia bamdogo ndio mana nakupenda

wanaume wengi hawajui wajibu wao et mpk umuombe au ukwame ndio niniiii we toa tu kama hauna mtu ataelewa leo baby yupo vibaya
 
sawa lkn kama mtu anakuja kwa gia ya kukukopa inakuaje hapo na kulipa halipi na wala humdai
Akija kukopa nampa, lakin siwez kumdai, hadi atakapoamua kunilipa mwenyewe. Na hasipolipa , akija kukopa siku nyingine , ntampa tena bila kumkumbushia deni la nyuma.
 
Back
Top Bottom