Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
nakuaminia bamdogo ndio mana nakupendaHili sina shida nalo mamdogo mama yako huwa anajinafasi walai
wanaume wengi hawajui wajibu wao et mpk umuombe au ukwame ndio niniiii we toa tu kama hauna mtu ataelewa leo baby yupo vibaya