Kuna shida gani shirika la Posta?

Kuna shida gani shirika la Posta?

Mookiesbad98

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2015
Posts
2,805
Reaction score
3,640
Ni muda sasa Posta Kawe ni kama haifunguliwi kabisa shida ni nini. MD Ndg Mabeans Chande tafadhali shughulikia hili au toa tamko.

Posta ni kiuongo muhimu sana katika ulimwengu wa biashara na kampuni barua muhimu, alerts n.k zinatumwa kupitia sanduku la posta.

Au mharakishe yale mambo ya posta mpaka mlangoni japo zile postcode na vibao havijatufikia na pesa manispaa ilikusanya ya vibao vya mitaa na postcode.
 
Back
Top Bottom