Nani kakwambia Congo haina Pesa?Congo haina pesa za kuwalipa wenye uwezo wa kuwasaidia.
Believe me, wanazo. Huwa wanatoa hata concession za madini. Waliwalipa Zimbabwe kwa namna hiyo wakati fulaniCongo haina pesa za kuwalipa wenye uwezo wa kuwasaidia.
Sisi tunaweza kutoa mkopo in terms of man power.Unataka tufe njaa?? Tukamuliwe Kodi mpaka tubaki mbavu 2. Yanayoendelea Kongo sisi hatuna ubavu wa kuyatuliza. Unaweza kuhisi unapigana na M23 kumbe unapigana na mabepari wakubwa.
Kukomboa Ardhi yetu.Vita ya kagera tulifaidika na nini..
kazi tunayo
Waziri wa ulinzi wa Tanzania akiwapimia M23 kwa mbaaaalii!!!
kazi tunayo
Waziri wa ulinzi wa Tanzania akiwapimia M23 kwa mbaaaalii!!!
Kila kitu kizuri ili ukipate lazima tuingie gharamaVita ni gharama hatuwezi kujitafutia matatizo
Hakuna uzuri wowote DRC ni nchi huru, watamaliza wenyewe shida zaoKila kitu kizuri ili ukipate lazima tuingie gharama
Sidhani kama Kagame anaona jeshi lake ni kiboko sana, ila ni ukweli pia kwamba katika Africa mashariki Kagame ndiye unayeweza kusema kati ya watawala ni mwanamikakati bora zaidi wa kijeshi na geopolitics za ukanda huu kwa sasa.Tatizo ni kwamba Kagame anaona jeshi lake ni kiboko sana hakuna nchi ya Africa inaweza kumpiga
Watu wanavyoona marekani anaenda kupigana Iraq na Afghanistan huko wanadhani anapenda vita kumbe kuna faida za kiuchumi?Sisi ni masikini wa kijitakia
Sasa kama watoto wanakaa chini bila madawati
Vyoo vya hospital ukiingia unaondoka na maradhi
Unategemea hizo hela za kuwalisha wanajeshi na vifaa vyao na silaha zitoke wapi?
Usilinganishe kamwe na US au Europeans ni mbingu na ardhi
Kwaio mkuu unatudharau kisa kushindwa kupatikana kwa gloves tmk hospital ☺️😊😊Mnazo hizo pesa za kuisaidia Congo??
Congo saivi wamefika mwisho kuhusu Kagame.Sidhani kama Kagame anaona jeshi lake ni kiboko sana, ila ni ukweli pia kwamba katika Africa mashariki Kagame ndiye unayeweza kusema kati ya watawala ni mwanamikakati bora zaidi wa kijeshi na geopolitics za ukanda huu kwa sasa.
Hapana. Haitakuwa hivyo.Mkuu ulishawahi kuona bata amejivika mfuko wa plastic shingoni anavyokombia nakutapatapa..? basi ndo itakuwa hivyohivyo tukiingilia huo ugomvi!.