Alinufaika Nyerere kumsaidia Mgala mwenzie, that's all...Vita ya kagera tulifaidika na nini..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alinufaika Nyerere kumsaidia Mgala mwenzie, that's all...Vita ya kagera tulifaidika na nini..
Sasahivi wakithubutu watachapika kweli kweli, Kagame amejipanga haswa kwenye hii vita.Jeshi letu ingawa wanasiasa wanajaribu kuliingilia ila bado halijawa dhaifu.
Nakumbuka enzi zile tunatoa kichapo kwa M23 tulikuwa na vyuma kama Gen. Mwamunyange, Brig G. Mwakibolwa na mwanajeshi wangu bora kwa wakati wote Lt. General Paul Ignace Mella.
Hawezi fanya huo upuuzi maisha yake yoteSasahivi wakithubutu watachapika kweli kweli, Kagame amejipanga haswa kwenye hii vita.
Tumlaumi Nyerere kwa siasa zake za ujamaa, ilibidi tuingie mkataba na Uganda, makampuni yetu yapige kazi miaka 100 kule, tungetegemeza utegemezi fulani hivi, tungehamishia viwanda vyao hapo Kagera n.kVita ya kagera tulifaidika na nini..
Kama tuna think tank kwenye hii nchi wakipitia uzi wangu na comment zangu. Kisha wakisoma comment yako na za wenye akili kubwa wachache waliochangia humu, wataelewa tunamaanisha nini!Tumlaumi Nyerere kwa siasa zake za ujamaa, ilibidi tuingie mkataba na Uganda, makampuni yetu yapige kazi miaka 100 kule, tungetegemeza utegemezi fulani hivi, tungehamishia viwanda vyao hapo Kagera n.k
Ulikuwa unapata alama gani darasani? Umeelewa mada au umekurupuka tu?M23 kama wameteka Goma watangaze Nchi.
Tuwasaidiw DRC Ili tupate nini? Miaka yote tuliowasaidia wametupa nini?
Hao mabeberu ndo shida,eti kulinda amani na Hali m23 wanaua watu.Kwanza unajua kwann tulienda kuwafurusha M23 kipindi kile na kwann Sasa hatuwafurushi? Ingaww Kuna vikosi huko vya jwtz ?
Huyajui yaliyo chini ya kapetiWamerudishwa na nani?
Huo ni urafi, sio utajiri. Muda wa kutanua hivyo bado.Nani kakwambia sisi nchi maskini? Unanunua V8 hadi kwa Wakurugenzi wa Halmashauri alafu unajiita nchi maskini?
Mabeberu yanafaidika na vita vya Congo Kwa asilimia 💯 % na ndio maaana huoni Cha maaana kule wakifanyaHao mabeberu ndo shida,eti kulinda amani na Hali m23 wanaua watu.
Kama ingekuwa siyo mabeberu Goma na maeneo yake yote yange kuwa shwari siku nyingi
Mabeberu yanafaidika na vita vya Congo Kwa asilimia 💯 % na ndio maaana huoni Cha maaana kule wakifanya