Wigelekelo
JF-Expert Member
- Sep 2, 2018
- 8,758
- 26,885
Hali halisi ilivyo huko uwanja wa vitaNeno kama lipi labda Mkuu ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hali halisi ilivyo huko uwanja wa vitaNeno kama lipi labda Mkuu ?
MkuuKwanza unajua kwann tulienda kuwafurusha M23 kipindi kile na kwann Sasa hatuwafurushi? Ingaww Kuna vikosi huko vya jwtz ?
Nisaidie kujua faida yaLeo tunajenga reli ya SGR kwa dhumuni ifike Mashariki mwa Congo. Swali ni Je hiyo reli itakuwa na faida kama Mashariki mwa Congo kukiendelea kuwa vitani namna hii?
Tuache suala la reli. Hivi Je Viongozi wetu hawajui tunaweza faidika kiuchumi endapo leo hii tukiwasaidia wazi Congo kwenye vita yao dhidi ya M23?
Marekani, Uingereza na Ujerumani wanatoa msaada mkubwa kwa Ukraine kupambana na Urusi. Msaada ule sio msaada kama msaada ni mkopo ambao Ukraine watazilipa nchi zile kwa miaka mingi ijayo!
Tuseme Viongozi wetu hawa hawaoni kuwa tunaweza kutoa msaada wa kijeshi kwa Congo sisi kama Tanzania ( Sio chini ya mwamvuli wa SADC au AU au EAC) na tukautumia kama mkopo kwa nchi ya Congo ambapo baadae watatulipa hata kwa karne nzima na tukafaidika kiuchumi?
Hivi nchi hii kuna Think Tanks? Ni kina nani hao Think Tanks? Wana Mchango gani positively kwa maendeleo ya Taifa?
Faida ni sisi kuingia makubaliano moja kwa moja na Taifa la Congo kwa terms tunazoziona zina manufaa kwetu.Nisaidie kujua faida ya
1. Kujitangaza nje ya mwamvuli wa UN
2. faida ya kuisaidia congo ndani au nje ya mwanvuli wa UN
3. Hasara ya kutoisaidia congo
Mbona tulimsaidia mwaka 2012 na hatukupigwa?Usimsaidie asie na nguvu mtapigwa wote.
Tulilinda Ardhi yetuVita ya kagera tulifaidika na nini..
Wabongo mnafikiri vita ni kama mechi za mpira kati ya Bonyokwa FC na Kinesi...![]()
Waziri wa ulinzi wa Tanzania akiwapimia M23 kwa mbaaaalii!!!
Mbona mwaka 2012 tuliingia Congo na kuwatoa M23?Wabongo mnafikiri vita ni kama mechi za mpira kati ya Bonyokwa FC na Kinesi...
Hapo unacheza na maisha ya watu Bob. Kweny vita hakunaga adui mdogo, ukienda kichwa kichwa unapasuka tuu vizur.
Lazima ujiulize hapo kuna ya nchi ngapi lkn yote mambo ni magumu sana. Hapo mkenya yupi, msauz yupo, AMISOM IPO. Mbongo mwenyew alishawahigi kwenda hapo watu wamerudishwa sanduku.
Kwanza ujue vile vikosi vya ulinzi wa aman haviendi Bora viende ,kisa Jirani ana vita ,Kuna sheria na utaratibuMkuu
Baelezee/ Tueleze
Baambie/ Tuambie
Wengi wanachukulia easy tu...Kwa nje unaona ni vita ya waasi M23 na DRC ila ndani ni haya usemayoHatuwezi kufanya hvyo, kwanza ungechimba ujue chanzo cha hayo machafuko, ujiulize hao M23 wanatoa wapi nguvu walionayo?, Ujiulize kwann hao mabepari wamenyamaza miaka yote wakat huaga ndo wakwanza kusemaga wanatuma jeshi kwenda kutuliza ghasia?, Ujiulize kwanini Alshabab wa Somalia wanaitwa Magaidi halafu M23 wanaitwa Waasi?, Ilihali wote wanashika silaha na wanaua wasio na hatia?, Unadhani hawaoni?
Wanaona vizur sn kuliko hata wewe na wao wanajijua kuwa ndio wafaidikaji wa kwanza kutoka kwa hao M23 na vikosi vyote vinavyoondoa amani Kongo kuliko hata hao Rwanda. Rwanda anatumika tuu kama chambo ila nyuma ya pazia naye anatumwa,
Hao wakubwa ndio wanaotoa silaha na mahitaji yote kwa vikundi hvyo. Tunaambiwa kuna madini ambayo yanatumika ktk masuala ya teknolojia (vioo vya computer, simu n.k) ambayo yapo kongo na sio kwengine popote. Jiulize wanatutengenezea vifaa hvyo na kuja kutuuzia huku ni akina nani?,
Wanahakikisha Serikali ya Kongo haisimami imara kamwe maana ikiwa na machafuko hvyo wao wanachukua madini buure kabisa, ila Serikali ikipewa nguvu inaamisha Vikosi vyote vitaondoshwa Kongo na Kongo inajijenga na ili wayapate madini hayo itawabidi waje kama wawekezaji na wafuate sheria na matakwa ya Serikali ikiwemo Kodi n.k, so wanaona ni bora kuwe na machafuko ili wayachukue bure. Sasa Tanzania aseme anaenda kusaidia kongo maana yake anakwenda kupigana na wale wanaompa mikopo na misaada kila siku, kwanza ataambiwa rudisha kwato nyumbani na ukae utulie, akikaza fuvu watamnyoosha taratibu tuu, (VIKWAZO)!?.
Naomba kuwasilisha.
tulikuwa tunamhitaji mtu kama kikwete, ili alete heshima kwenye mazingira. hadi tumepoteza heshima kama polisi wa eneo hili la africa.Leo tunajenga reli ya SGR kwa dhumuni ifike Mashariki mwa Congo. Swali ni Je hiyo reli itakuwa na faida kama Mashariki mwa Congo kukiendelea kuwa vitani namna hii?
Tuache suala la reli. Hivi Je Viongozi wetu hawajui tunaweza faidika kiuchumi endapo leo hii tukiwasaidia wazi Congo kwenye vita yao dhidi ya M23?
Marekani, Uingereza na Ujerumani wanatoa msaada mkubwa kwa Ukraine kupambana na Urusi. Msaada ule sio msaada kama msaada ni mkopo ambao Ukraine watazilipa nchi zile kwa miaka mingi ijayo!
Tuseme Viongozi wetu hawa hawaoni kuwa tunaweza kutoa msaada wa kijeshi kwa Congo sisi kama Tanzania ( Sio chini ya mwamvuli wa SADC au AU au EAC) na tukautumia kama mkopo kwa nchi ya Congo ambapo baadae watatulipa hata kwa karne nzima na tukafaidika kiuchumi?
Hivi nchi hii kuna Think Tanks? Ni kina nani hao Think Tanks? Wana Mchango gani positively kwa maendeleo ya Taifa?
Nadhani JK angekuwa Rais hadi leo by today tungekuwa na Military Base Goma na Kivu na angechukua huu ushauri haraka sanatulikuwa tunamhitaji mtu kama kikwete, ili alete heshima kwenye mazingira. hadi tumepoteza heshima kama polisi wa eneo hili la africa.
JK yupo na ana ushawishi mkubwa tu serikalini kama raisi mstaafu pekee aliyebaki.tulikuwa tunamhitaji mtu kama kikwete, ili alete heshima kwenye mazingira. hadi tumepoteza heshima kama polisi wa eneo hili la africa.
Kuwa na ushawishi ni tofauti na kuwa mfanya maamuzi. JK is a soldier na kipindi kile alikuwa anafanya maamuzi kama mwanajeshi mbobevu na kiongozi kweli.JK yupo na ana ushawishi mkubwa tu serikalini kama raisi mstaafu pekee aliyebaki.
Huo ujinga hatufanyi tena, hatuwezi kurisk askari wetu kwa watu wasiolielewa. Tatizo la kongo jeshi lao halina umoja wanasalitiana, wanauza taarifa kwa adui sasa hapo si unatafuta kifo cha kijinga.Mbona tulimsaidia mwaka 2012 na hatukupigwa?
Kwanza saivi napendekeza tukatoe msaada au tuingie pale kwa maslahi ya kiuchumi?Huo ujinga hatufanyi tena, hatuwezi kurisk askari wetu kwa watu wasiolielewa. Tatizo la kongo jeshi lao halina umoja wanasalitiana, wanauza taarifa kwa adui sasa hapo si unatafuta kifo cha kijinga.