Kuna shida Gani ukisaidiwa kutolewa nguo zako kwenye kamba

Swensa

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2024
Posts
2,880
Reaction score
4,295
Mko poa wakuu,

Kuna hii tabia ya mtu akifua nguo zake Kisha akianika kwenye kamba harafu akiwa ametoka hayupo huku nyuma hutakiwi kuzitoa kwenye kamba mpaka mwenyewe arudi ata zinyeshewe na mvua zikiwa zimeshakauka hapendi yani!?

Akija mwenyewe atazianua, basi ujaribu kuzitoa labda Kuna mvua inataka kuja akirudi basi atazitikisa tikisa weee na kuzikungu'ta weee kama anatoa sijui chawa au kunguni🤣😅

JE niulize na wengine mpo hivyo mnajiskia vibaya pindi mkisaidiwa kutolewa nguo zenu kwenye kamba au ni huyu peke ake jirani nimuonaye
 
Haipendezi kushikashika nguo za mpangaji mwenzio otherwise mna undugu. Hata ikianguka hakuna kuinua, mvua ikija zinyeshewe tu kama hajatoa idhini asaidiwe kuanua. Wengine hujisikia vibaya na kuhisi labda zimefanyiwa kitu
 
Mko poa wakuu,

Kuna hii tabia ya mtu akifua nguo zake Kisha akianika kwenye kamba harafu akiwa ametoka hayupo huku nyuma hutakiwi kuzitoa kwenye kamba mpaka mwenyewe arudi ata zinyeshewe na mvua zikiwa zimeshakauka hapendi yani!?

Akija mwenyewe atazianua, basi ujaribu kuzitoa labda Kuna mvua inataka kuja akirudi basi atazitikisa tikisa weee na kuzikungu'ta weee kama anatoa sijui chawa au kunguni🤣😅

JE niulize na wengine mpo hivyo mnajiskia vibaya pindi mkisaidiwa kutolewa nguo zenu kwenye kamba au ni huyu peke ake jirani nimuonaye
Kuvuja kwa pakacha nafuu ya mchukuzi.
 
Mimi mmoja wapo kila nikiamia kwenye nyumba lazima nifunge kamba yangu sasa jichanganye nianike uje kuanua utajua hujui
 
Back
Top Bottom