Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 4,274
- 9,326
Wadau wa elimu huu ni ukweli kuhusu shule zetu za WASABATO Tanzania. Zinaweza kusifiwa sana lakini kwenye kiwango cha ubora bado sana. Nashauri maboresho yaanze hususan kwenye kuzingatia taaluma na huduma kwa wanafunzi hasa wale wa kulala shuleni.
Kuna shida ya namna ya kuendesha shule hizo and this is very serious ndio maana hata Wasabato wenyewe huamua kuhamisha watoto wao shule nyingine. Naomba wajifunze kwa wenzao wa kanisa katoliki
Kuna shida ya namna ya kuendesha shule hizo and this is very serious ndio maana hata Wasabato wenyewe huamua kuhamisha watoto wao shule nyingine. Naomba wajifunze kwa wenzao wa kanisa katoliki