Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 4,274
- 9,326
U mean shule zote za kisabato??? HaiwezekaniWadau wa elimu huu ni ukweli kuhusu shule zetu za WASABATO Tanzania. Zinaweza kusifiwa sana lakini kwenye kiwango cha ubora bado sana. Nashauri maboresho yaanze hususan kwenye kuzingatia taaluma na huduma kwa wanafunzi hasa wale wa kulala shuleni.
Kuna shida ya namna ya kuendesha shule hizo and this is very serious ndio maana hata Wasabato wenyewe huamua kuhamisha watoto wao shule nyingine. Naomba wajifunze kwa wenzao wa kanisa katoliki
Hata wewe utakua umesoma shule za kisabato ππWanafundishwa ubishi kwanza halafu ndio wanafundishwa kuelewa. Sasa wengi wanakomea kwenye ubishi, Mfano Kama doctrine za theology na philosophia
π π π π Nilisoma nao Chuo ndio wakanipa story na huo ucheshiHata wewe utakua umesoma shule za kisabato ππ
Wewe ni kicwa ngumu na mbishi ππ π π π Nilisoma nao Chuo ndio wakanipa story na huo ucheshi
Ubishi upi? Acha kunipakazia wewe demu .kwanza nahasira na wewe tangu uniambie una jinsia mbiliWewe ni kicwa ngumu na mbishi π
Hao wasabato wamekuharibu
Hongera kwao kazi wameifanya
Uko sawa?Ubishi upi? Acha kunipakazia wewe demu .kwanza nahasira na wewe tangu uniambie una jinsia mbili
π π Hapana Niko kwanguUko sawa?