Kuna shida namna ya Israel inavyotazamwa na waumuni wa dini ya Kikristo

BLACK_WIDOW

Senior Member
Joined
Nov 17, 2018
Posts
149
Reaction score
382
Nilichojifunza humu JF ikitajwa Israel kwenye masuala haya ya migogoro WA mashariki ya kati.. Kuna kundi ambalo ni diehard fans WA Israel Yan hao huwaambii kitu kuhusu Israel Hata iweje

Hata wakiskia Israel wamepiga bomu shuleni.. wao safiiiii. au wamepiga bomu hospital wao safiiii tu.

Kinachochekesha ni kuona kundi hili la diehard fans likijinasibisha na Israel kiimani kwamba ni wenzao kiimani 😂😂😂 Naonaga Hata kwenye magari yao wanaweka bendera za Israel... Bendera iliyoitengeneza 1948

Jaman Israel sio wakristo na hawautambui ukristo.. na Yesu hawamtambui kabisa kama nabii.. afadhali kidogo mussa.. kidogo kwa mbaaaali (in selemani bungara's voice). Yesu walimkataa mpaka wakaomba afunguliwe yule Baraba ambaye alikuwa mfungwa aliyetafutwa mno kwa makosa ya ubakaji na mauaji... Ila ni kiasi gan kizazi hiki hakikumkubali Yesu wakaomba Baraba aachiwe Yesu asulubiwe

Yesu mwenyewe alishawaita kizazi Cha nyoka hawa watu..wameua manabii wengi tu Hata Yohana mbatizaji walimuua kwa hila..

Mimi ninachokiona kwa wakristo WA Tanzania Wana zile grudges za ndani kwa ndani na uislamu na waarabu kitu kinachowatia upofu kuona... Na wakiona wapalestina kule Gaza Wanauliwa.. wao wanafurahi walijua wanakufa waislamu.. bila kujua Kuna Jamii ya waarabu WA Palestina ni wakristo pia . Kama kule Lebanon...

Wazungu wenzetu wako mbali sana kifikra.. hizi huruma na mitego ya wayahudi kupitia ANTISEMITISM kwamba wao ndio wanaonewa duniani... Hawapendwi... Wazungu washashitukia hiyo janja muuda na wazungu hao hao ndio wakristo wengi.. ndio maana Mnaona mpaka wazungu wanaandamana kuupinga sera zao za kikatili huko Gaza... Mpaka Biden alikalia kuti kavu.. na mpaka kanyoosha mikono kugombea tena

Halafu hizo sifa mnazowapa Israel sijui kijeshi hatari sijui nini wale ni wakawaida tu Tena sana.. mifumo ya ulinzi hizo iron domes zote kafungiwa na US.. na USA ana manuari zake ziko hapo hapo Mediterranean kumpa back up...

Pia hao wapalestina anaowapiga kila siku wamedhibitiwa mno na marekani kwenye kuaccess silaha.. wanatumia silaha za kawaida sana.. mabomu yenyewe tu Wana ungaunga kienyeji.. na US kabana kupitia vibaraka hapo Jordan. Saudia kwamba Palestina wasipate silaha za maana.. kwa sababu wanajua na ni ukweli... Kama vile vikundi vya Palestina vinapata silaha za maana za vita Israel kama taifa litafutika hapo..

Itafika nyakati kwa wakristo WA Tanzania watafikia hatua waliyofikia wakristo WA marekani na ulaya Sasa hivi.. ya kuwajua wayahudi vizuri... Hata wazungu walisumbuliwa sana na wayahudi kabla hawajawajua.. ila Sasa hivi wanahaha maana washawajua.. illa huku bado..
 
Ukubali au ukatae Wayahudi Wana nguvu sana, uko ulaya na marekani walishajipenyeza sana kwenye nafasi za ushawishi. Ndio maana unaona USA yuko tayari kutumia Hela za walipa Kodi wake kwenda kumsaidia muuwaji na mbaguzi mkuu duniani.

Uzwazwa wa udini uko pande zote za hizi dini zilizoletwa na majahazi kuja kututawala. Hawa watu huwaambii kiitu ata kama Kiko wazi yuko tayari kutetea uongo na ukatiri wa upande anaoamini.

Kuna watu hapa kuna Mtz aliuwawa na Hamasi, waliona sawa tu kama si uzwazwa ni nini.
 
GYl9mnmW0AA7meO.jpg
 
Ukubali au ukatae Wayahudi Wana nguvu sana, uko ulaya na marekani walishajipenyeza sana kwenye nafasi za ushawishi. Ndio maana unaona USA yuko tayari kutumia Hela za walipa Kodi wake kwenda kumsaidia muuwaji na mbaguzi mkuu duniani...
Sijakataa kuwa hawana nguvu la hasha.. Wana nguvu Hata siasa ya ulaya wameikamata mataifa hayo makubwa hupenyi kwenye uchaguzi ukapata kuongoza nchi kama huna damu yao.. ila kwa wazungu wenzetu the enemy is unmasked...

Yan wazungu wameshawajua wayahudi ni watu WA namna gani.. kinachowapa ugumu ni kuwa tu wayahudi wameshaji-cement kwenye mifumo ya hizo nchi.. Yan wameshika mpini

Na wayahudi vichwa vinaumaa.. kitendo Cha kuwa uchi kwa wazungu.. wanaishi kwa tahadhari maana wanajua they can't fool wazungu anymore.. Yan wazungu Wana struggle kufanya comeback Sasa forces zinashindana . Kwa sababu wayahudi Leo wanawaburuza wazungu wakati wao wageni tu ulaya ... Na sio kwann ni hizo dhuluma
 
Huwezi kuutenga Ukristu na Uyahudi kama ilivyo uislamu na waarabu
Hapo ndio wayahudi wanafanikiwa Sasa kwa mentality kama hii Yako Mkuu...

Na ndio maana wayahudi vita yao kubwa ni dhidi ya uislamu coz kule Hata kitabu chenyewe Quran.. kimewachambua kwa kina njama zao na Hila zao... Wayahudi wanauogopa uislamu mnoo.. na Wanap ambana kuhakikisha haukuwi duniani na usipate kukubalika especially ulaya na marekani...

Maana uislamu ukiwa na nguvu duniani wayahudi watapata shida maisha yao ya dhuluma yatafikia mwisho.. maana Hata msahafu waumini wakisoma tayari washamjua mbaya ni Nan anayesumbua ulimwengu
 
Nilichojifunza humu JF ikitajwa Israel kwenye masuala haya ya migogoro WA mashariki ya kati.. Kuna kundi ambalo ni diehard fans WA Israel Yan hao huwaambii kitu kuhusu Israel Hata iweje

Hata wakiskia Israel wamepiga bomu shuleni.. wao safiiiii. au wamepiga bomu hospital wao safiiii tu.

Kinachochekesha ni kuona kundi hili la diehard fans likijinasibisha na Israel kiimani kwamba ni wenzao kiimani 😂😂😂 Naonaga Hata kwenye magari yao wanaweka bendera za Israel... Bendera iliyoitengeneza 1948

Jaman Israel sio wakristo na hawautambui ukristo.. na Yesu hawamtambui kabisa kama nabii.. afadhali kidogo mussa.. kidogo kwa mbaaaali (in selemani bungara's voice)... Yesu walimkataa mpaka wakaomba afunguliwe yule Baraba ambaye alikuwa mfungwa aliyetafutwa mno kwa makosa ya ubakaji na mauaji... Ila ni kiasi gan kizazi hiki hakikumkubali Yesu wakaomba Baraba aachiwe Yesu asulubiwe

Yesu mwenyewe alishawaita kizazi Cha nyoka hawa watu..wameua manabii wengi tu Hata Yohana mbatizaji walimuua kwa hila..

Mimi ninachokiona kwa wakristo WA Tanzania Wana zile grudges za ndani kwa ndani na uislamu na waarabu kitu kinachowatia upofu kuona... Na wakiona wapalestina kule Gaza Wanauliwa.. wao wanafurahi walijua wanakufa waislamu.. bila kujua Kuna Jamii ya waarabu WA Palestina ni wakristo pia . Kama kule Lebanon...

Wazungu wenzetu wako mbali sana kifikra.. hizi huruma na mitego ya wayahudi kupitia ANTISEMITISM kwamba wao ndio wanaonewa duniani... Hawapendwi... Wazungu washashitukia hiyo janja muuda na wazungu hao hao ndio wakristo wengi.. ndio maana Mnaona mpaka wazungu wanaandamana kuupinga sera zao za kikatili huko Gaza... Mpaka Biden alikalia kuti kavu.. na mpaka kanyoosha mikono kugombea tena

Halafu hizo sifa mnazowapa Israel sijui kijeshi hatari sijui nn.. wale ni wakawaida tu Tena sana.. mifumo ya ulinzi hizo iron domes zote kafungiwa na US.. na USA ana manuari zake ziko hapo hapo Mediterranean kumpa back up...

Pia hao wapalestina anaowapiga kila siku wamedhibitiwa mno na marekani kwenye kuaccess silaha.. wanatumia silaha za kawaida sana.. mabomu yenyewe tu Wana ungaunga kienyeji.. na US kabana kupitia vibaraka hapo Jordan. Saudia kwamba Palestina wasipate silaha za maana.. kwa sababu wanajua na ni ukweli... Kama vile vikundi vya Palestina vinapata silaha za maana za vita Israel kama taifa litafutika hapo..

Itafika nyakati kwa wakristo WA Tanzania watafikia hatua waliyofikia wakristo WA marekani na ulaya Sasa hv.. ya kuwajua wayahudi vizuri... Hata wazungu walisumbuliwa sana na wayahudi kabla hawajawajua.. ila Sasa hv wanahaha maana washawajua.. illa huku bado..
Umeongea mengi sana lakini umesahau kuwa myahudi hauzi bidhaa bali anauza akili hilo jambo ndio mana mataifa yenye nguvu yanamuunga mkono sababu ndio hitaji watu
 
Miongoni mwa mikakati ya wayahudi kupiga vita uislamu usikubalike duniani... Ni hiii taswira ya ugaidi waliyouvisha..

Wametengeneza ISLAMIC STATE na vikundi vingine vya kigaidi sijui BOKO HARAM.. kuupaka matope uislamu ... Watu wakose Iman na uislamu..

Maana uislamu unapingana na wayahudi kimafundisho . Mfano uislamu unapinga Kamali.. Riba .ambazo ndio biashara kuu za wayahudi wanazopigia pesa.. hivyo wayahudi wanaona uislamu ulikuwa duniani ni hatari kwao.. hivyo wanapambana usikue
 
🤣🤣🤣🤣🤣 Haya ni maajabu. Watu wanapigana kwa interest zao walevi wa dini za mwarabu na mzungu mnaingia kichwakichwa.
 
Umeongea mengi sana lakini umesahau kuwa myahudi hauzi bidhaa bali anauza akili hilo jambo ndio mana mataifa yenye nguvu yanamuunga mkono sababu ndio hitaji wat

Umeongea mengi sana lakini umesahau kuwa myahudi hauzi bidhaa bali anauza akili hilo jambo ndio mana mataifa yenye nguvu yanamuunga mkono sababu ndio hitaji watu
BIG NO....mataifa yanayounga mkono wayahudi si sababu za kibiashara... Nikuulize hao Israel wanatengeneza nn unachoweza kutuambia hapa... Hiyo inapambaniwa Buffer state Ili kulinda maslahi yao middle east.. na pia unaona kama US kupigania Israel sio sera inayokubalika na wamarekani wote la hasha.. ni sera ya wayahudi wachache waliopo kwenye power wanataka kulinda maslahi yao... Ndio maana wamarekani wengine wengi wanapinga na wanaandamana mfano wale wa vyuo vikuu
 
Miongoni mwa mikakati ya wayahudi kupiga vita uislamu usikubalike duniani... Ni hiii taswira ya ugaidi waliyouvisha..

Wametengeneza ISLAMIC STATE na vikundi vingine vya kigaidi sijui BOKO HARAM.. kuupaka matope uislamu ... Watu wakose Iman na uislamu..

Maana uislamu unapingana na wayahudi kimafundisho . Mfano uislamu unapinga Kamali.. Riba .ambazo ndio biashara kuu za wayahudi wanazopigia pesa.. hivyo wayahudi wanaona uislamu ulikuwa duniani ni hatari kwao.. hivyo wanapambana usikue
Ulianza vizuri. Ila huku unapoelekea Nia yako ya huu Uzi inaonekana. Unafanya kilekile unachokosoa.
 
Nilichojifunza humu JF ikitajwa Israel kwenye masuala haya ya migogoro WA mashariki ya kati.. Kuna kundi ambalo ni diehard fans WA Israel Yan hao huwaambii kitu kuhusu Israel Hata iweje

Hata wakiskia Israel wamepiga bomu shuleni.. wao safiiiii. au wamepiga bomu hospital wao safiiii tu.

Kinachochekesha ni kuona kundi hili la diehard fans likijinasibisha na Israel kiimani kwamba ni wenzao kiimani 😂😂😂 Naonaga Hata kwenye magari yao wanaweka bendera za Israel... Bendera iliyoitengeneza 1948

Jaman Israel sio wakristo na hawautambui ukristo.. na Yesu hawamtambui kabisa kama nabii.. afadhali kidogo mussa.. kidogo kwa mbaaaali (in selemani bungara's voice)... Yesu walimkataa mpaka wakaomba afunguliwe yule Baraba ambaye alikuwa mfungwa aliyetafutwa mno kwa makosa ya ubakaji na mauaji... Ila ni kiasi gan kizazi hiki hakikumkubali Yesu wakaomba Baraba aachiwe Yesu asulubiwe

Yesu mwenyewe alishawaita kizazi Cha nyoka hawa watu..wameua manabii wengi tu Hata Yohana mbatizaji walimuua kwa hila..

Mimi ninachokiona kwa wakristo WA Tanzania Wana zile grudges za ndani kwa ndani na uislamu na waarabu kitu kinachowatia upofu kuona... Na wakiona wapalestina kule Gaza Wanauliwa.. wao wanafurahi walijua wanakufa waislamu.. bila kujua Kuna Jamii ya waarabu WA Palestina ni wakristo pia . Kama kule Lebanon...

Wazungu wenzetu wako mbali sana kifikra.. hizi huruma na mitego ya wayahudi kupitia ANTISEMITISM kwamba wao ndio wanaonewa duniani... Hawapendwi... Wazungu washashitukia hiyo janja muuda na wazungu hao hao ndio wakristo wengi.. ndio maana Mnaona mpaka wazungu wanaandamana kuupinga sera zao za kikatili huko Gaza... Mpaka Biden alikalia kuti kavu.. na mpaka kanyoosha mikono kugombea tena

Halafu hizo sifa mnazowapa Israel sijui kijeshi hatari sijui nn.. wale ni wakawaida tu Tena sana.. mifumo ya ulinzi hizo iron domes zote kafungiwa na US.. na USA ana manuari zake ziko hapo hapo Mediterranean kumpa back up...

Pia hao wapalestina anaowapiga kila siku wamedhibitiwa mno na marekani kwenye kuaccess silaha.. wanatumia silaha za kawaida sana.. mabomu yenyewe tu Wana ungaunga kienyeji.. na US kabana kupitia vibaraka hapo Jordan. Saudia kwamba Palestina wasipate silaha za maana.. kwa sababu wanajua na ni ukweli... Kama vile vikundi vya Palestina vinapata silaha za maana za vita Israel kama taifa litafutika hapo..

Itafika nyakati kwa wakristo WA Tanzania watafikia hatua waliyofikia wakristo WA marekani na ulaya Sasa hv.. ya kuwajua wayahudi vizuri... Hata wazungu walisumbuliwa sana na wayahudi kabla hawajawajua.. ila Sasa hv wanahaha maana washawajua.. illa huku bado..
Mbona ni pande zote mkuu
 
Hawawezi kukuelewa mkuu, hawana uwezo wa kusoma na kuilewa bibilia , note waliambiawa mpaka (roho mtakatifu awashukie)
 
BORA KUTUKANWA, KUTEMEWA MATE, KUDHARAULIWA, KUPIGWA, KUNYANYASWA, KUNYANYAPALIWA, KUZOMEWA, KUTENGWA, KUBAGULIWA NA KUULIWA NA WAYAHUDI/ISRAELI KWANI NI BARAKA KULIKO KUPENDWA NA KUKUBALIKA NA MIARABU KWANI NI LAANA.

GOD BLESS AND PROTECT ISRAEL

Nyau de adriz
 
Wayahudi wanasema aliyelaaniwa hutundikwa, au sivyo?

Nani vile?
 
BORA KUTUKANWA, KUTEMEWA MATE, KUDHARAULIWA, KUPIGWA, KUNYANYASWA, KUNYANYAPALIWA, KUZOMEWA, KUTENGWA, KUBAGULIWA NA KUULIWA NA WAYAHUDI/ISRAELI KWANI NI BARAKA KULIKO KUPENDWA NA KUKUBALIKA NA MIARABU KWANI NI LAANA.

GOD BLESS AND PROTECT ISRAEL

Nyau de adriz
Umesahau ku pdidywa.
 
Back
Top Bottom