Kuna shida ya kupambana na matapeli mitandaoni

Kuna shida ya kupambana na matapeli mitandaoni

olimpio

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2023
Posts
418
Reaction score
866
Nimepitia report ya Mamlaka ya mawasiliano ya past three months(iliyotoka mwezi huu)

report Nimeona kitu cha ajabu sana , kila report hizi za TCRA zikitoka , mikoa miwili ya Rukwa na Morogoro inaongoza kwa utapeli mitandaoni , kuna maswali magumu sana najiuliza
1. Taasisi zinazopambana na uhalifu mitandaoni Polisi , TCRA na wengine wameshindwa?
2. Kwanini mikoa ya Rukwa na Morogoro kila report inaongoza? Polisi na mamlaka za serikali zimelala maeneo hayo?
3. Kuna watumishi wa serikali wanashirikina na matapeli ?
4. Kwanini hawakamatwi hao matapeli?

1713943568567.png
 
Back
Top Bottom